Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,411
- 18,436
Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai,lengai ole sabaya anatajwa kuingia kweye kinyanganyiro Cha kugombea nafasi ya ubunge katika Jimbo la Arumeru Magharibi,Kwa tiketi ya Chama Cha CCM.
Sabaya anatarajiwa kuchuana na wagombea wengine 20 waliokwisha chukua fomu za ubunge kupitia Jimbo la Arumeru Magharibi.
Soma,Pia: Mawakili wa Lengai Ole Sabaya waangukia pua kesi ya Uhujumu uchumi, pingamizi lao latupwa
Nae katibu wa CCM wilaya Arumeru amesema makada waliochukua fomu za ubunge katika Jimbo la Arumeru Magharibi Hadi Sasa wamefika 20.
===
Aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amechukua fomu ya ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi ikumbukwe Sabaya aliwahi pia kupelekwa mahakani kwa kesi ya uhujumu Uchumi.
Mnamo Septemba 2021, Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha ilimhukumu kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha. Kesi hiyo ilihusisha tukio la kumvamia mfanyabiashara Arusha na kuchukua mali zake kwa nguvu.
licha ya hayo yote Sabaya alishinda kesi hiyo na kuachiliwa uhuru na hii leo amechukua fomu kugombea ubunge;
=====
Mwanasiasa na kiongozi maarufu nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya, leo tarehe 1 Julai 2025, amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Sabaya alifika katika ofisi za CCM zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Arusha (Arusha DC), akiwa ameambatana na mke wake. Hata hivyo, alikataa kuzungumzia lolote kuhusu uamuzi wake wa kuchukua fomu hiyo.

Waandishi wa habari walipomfuata wakitaka kupata kauli yake, hasa ikizingatiwa ukimya wake wa muda mrefu katika siasa, Sabaya alijibu kwa kifupi akisema: "Namuachia Mungu.