Lemutuz mobimba, Paul Makonda kakususa?

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
960
3,267
Mzee wetu ni wiki sasa yupo hospitali taabani lakini anyemuita rafiki yake wa damu ambaye amekuwa akimsifia kila siku ndugu Paul Makonda hadi sasa hajakanyaga kabisa hospitalini kwenda kumuona

Hii inamaana gani au lekokobanga huwa anajipendekeza lakini hapendwi?
 
Back
Top Bottom