Lemutuz 'Mobimba nyee nyee' amvalisha mtu pete ya uchumba

Wale mliokuwa mnasubiri zali la kuwa queen of social media networks mmechelewa the king himself is now engaged to a woman of his dreams.

Wifi aliyepatikana kigezo chake kikubwa ni kuto MUOGOPA MANGE, kumbe wengi walifeli mtihani wa kuwa Mrs Lemutuz kwa kumuogopa dada wa taifa.
Nimecheka sana eti the woman of his dreams, hadi umri huo bado ana dream ?
 
weka kapicha tafadhali
Queen of all Bongo Social media
Screenshot_20180809-193237.png
 
Back
Top Bottom