Lemutuz 'Mobimba nyee nyee' amvalisha mtu pete ya uchumba

Libaba la miaka 65 , linataka kuoa msichana na kibamia chake na sasa linaumwa moyo, marehemu mtarajiwa
Mhhh hapo mwisho mkuu umezingua, sote ni marehemu watarajiwa. Fikiria wenye ugonjwa wa moyo wakisoma post yako wanajisikiaje?
 
Ngoja nifate hyo kanuni maskini hana utu
Masikini haaminiki, ndio maana Mungu hawezi kuweka agano na masikini kwasababu anaweza kubadilika muda wowote, hivyo Mungu anapotaka kuweka agano na wewe ni lazima aku establish kwanza.... Apostle Maboya.
 
Back
Top Bottom