Umoja wa watanzania wanao tumia mitandao ya kijamii nchini Tanzania, umemuomba Mfalme wa Mitandao ya Kijamii Tanzania, Ndugu. William John Samwel Malecela a.k.a Lemutuz aingilie kati ugomvi mkali ulio ibuka mtandaoni kati ya Mange Kimambi na Linda Bezuidenhot a.k.a Bedui ili kuepusha machafuko zaidi.
Haya sasa Lemutuz unasubiriwa utoe tamko lako. Wewe ndio Nyerere wa Social Network Tanzania. Hekima zako zinahitajika sana kaka.