Hii ndio Zawadi/gari aliyopewa Mshindi wa Miss Tanzania 2018

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,450
12,317
Tulitegemea mabadiliko makubwa but mambo ni yale yale
Screenshot_20180908-221720.png

Hapa chini ni gari lilitolewa na Diamond karanga
IMG_20180909_200618.jpg
 
Hii ni aibu nyingine kwa Basata ,wizara na wadhamini wote wa hili shindano bila kumsahau mwenye shindano hili kwa sasa bi Basila mwanukuzi aiseeee hivi gari kama hilo ndio anapata mshindi kweli pamoja na wadhamini wote wale? Nafikiri hili shindano lina laana kabisa .....watu walitegemea makubwa sana kwenye hili shindano lakini ni aibu tupu kabisa kabisa.

Kuna kila sababu la kulifutilia mbali kabisa hili shindano....
 
Hahaha mkuu, yule alikua na chance nyingi za ku make pesa but hakili hana
Saivi angekua mbali mno na angelutilia angekuwa dc,rc au mbunge
Mkuu tatizo ile kanda aliyozaliwa (Singidani) si unajua ma du wa kule walivyo papuchi kwao ndio kama utajiri wao ,
Na ndio Akili zao zimekomea pale utatoa hutoi.
 
Back
Top Bottom