Lembeli vipi kashfa hii ya Burigi na Kimisi

Sabato masalia

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
228
Reaction score
134
KWANZA kabisa kwa upande wangu naelekeza lawama kwa maafisa wote wa idara ya usalama wa taifa [TISS]waliokuwemo katika hiyo operesheni tokomeza ujangili vipi walishindwa kutoa taarifa mapema kama kuna unyama unaendelea kufikia hapo, inabidi hatua zichukuliwe dhidi ya maafisa wote wa TISS WALIOKUWEMO KATIKA OPERESHENI HIYO, kazi ya TISS ni kulinda heshima na nchi na kuzuia aina yote ya uvunjaji wa sheria na haki za binadamu.NAOMBA DAWATI LA OPERESHENI KUWASHUGHULIKIA HARAKA MAAFISA HAO.

nikija kwa Mbunge J. Lembeli mwenyekiti wa kamati ya maliasili na mazingira huyu bwana ni hodari mno kukosoa wenzake lakini ameficha uchafu mkubwa na inadhihirisha jinsi gani alivyo mnafiki, Lembeli anashirikiana na mafugaji wenzake kuharibu hifadhi ya wanyapori kule burigi na kimisi kwa kuweka maelfu ya Ng'ombe anashirikiana na mafugaji ambao zinapokamatwa ng'ombe zao hifadhini na kutakiwa kutozwa faini wanampigia simu Lembeli na kuwakingia kifua wasilipe faini, Lembeli alikuwa akishirikiana sana na Kagasheki akimtumia kumfanikishia mambo yake ikiwemo safari za wizara ambazo hazimuhusu lakini Kagasheki alikuwa analazimisha itengwe bajeti aende na Lembeli ndio maana wakati akisoma ripoti Lembeli alitaka kuleta ujanja kutetea Kagasheki na kumkandamiza katibu mkuu mama Tarishi kwa kumuonea.
wafugaji wafuatao ndio waharibu wakubwa wa hifadhi yetu ya Kimisi na Burigi wakishirikiana na Lembele
1. Bwana George 0784281154
2. Bwana Makoye 0687657720
3. Bwana Budugu 0785665791 au 0788920689
4. Mgema 0682243625
5. Rugina 0786900626[Mnyarwanda]
upi ukweli wa Lembeli kama anafikia kuwakingia kifua watu wanaoharibu hifadhi zetu wanyama wetu pori wanapotea, Lembeli hilo halijali uko wapi uzalendo wake mpaka apate huo uwaziri anaoutaka? Lembeli amefikia kumchukia sana katibu mkuu wa maliasili na utalii mama Tarishi na kutaka asimamishwe kwa kuwa huyu mama amekuwa kikwazo kikubwa dhidi ya machafu yake yote anayotaka kuyapenyeza wizarani.
 
Mr tujulishe na wale Askari wanaoshirikian nao

Kama Unataka kujua Ufisadi na Unafiki wa Lembeli... kawaulize TANAPA... huko ndo alikuwa akifanyia kazi kabla ya kuwa mbunge. Huyu jamaa ni fitina tupu. Hafai. Analinda maslahi yake na ya mafisadi wenzake tu. Ni mvurugani mkubwa na hajali maliasili zetu. Huko TANAPA aliibia shirika sana mpaka akaondolewa huko.

Anaendeleza fitina zake na kuwatetea majangiri kwa sababu eti Operation imekiuka haki za binadamu hali yakuwa ameona yeye na majangiri wenzake wameshikwa pabaya na Operation Tokomeza. Tunamuomba Raisi Kikwete awe makini na Mtu huyu. Anaivuruga nchi,.. na hasa wizara ya Maliasili na Utalii. Halali, ni fitina tu mpaka apewe yeye huo uwaziri
 
Sitaki kufanya sana siasa but to my understanding Lembeli was jus a mere Public Relations Manager in TANAPA, sasa anaweza akahusika na nini kwenye ufisadi wa TANAPA maybe kama alikuwa anatumiwa na watu wa juu yake hapo sawa. Naongea kama mwananchi wa kawaida kabiasa na si kama mwanasiasa
 
KWANZA kabisa kwa upande wangu naelekeza lawama kwa maafisa wote wa idara ya usalama wa taifa [TISS]waliokuwemo katika hiyo operesheni tokomeza ujangili vipi walishindwa kutoa taarifa mapema kama kuna unyama unaendelea kufikia hapo, inabidi hatua zichukuliwe dhidi ya maafisa wote wa TISS WALIOKUWEMO KATIKA OPERESHENI HIYO, kazi ya TISS ni kulinda heshima na nchi na kuzuia aina yote ya uvunjaji wa sheria na haki za binadamu.NAOMBA DAWATI LA OPERESHENI KUWASHUGHULIKIA HARAKA MAAFISA HAO.

nikija kwa Mbunge J. Lembeli mwenyekiti wa kamati ya maliasili na mazingira huyu bwana ni hodari mno kukosoa wenzake lakini ameficha uchafu mkubwa na inadhihirisha jinsi gani alivyo mnafiki, Lembeli anashirikiana na mafugaji wenzake kuharibu hifadhi ya wanyapori kule burigi na kimisi kwa kuweka maelfu ya Ng'ombe anashirikiana na mafugaji ambao zinapokamatwa ng'ombe zao hifadhini na kutakiwa kutozwa faini wanampigia simu Lembeli na kuwakingia kifua wasilipe faini, Lembeli alikuwa akishirikiana sana na Kagasheki akimtumia kumfanikishia mambo yake ikiwemo safari za wizara ambazo hazimuhusu lakini Kagasheki alikuwa analazimisha itengwe bajeti aende na Lembeli ndio maana wakati akisoma ripoti Lembeli alitaka kuleta ujanja kutetea Kagasheki na kumkandamiza katibu mkuu mama Tarishi kwa kumuonea.
wafugaji wafuatao ndio waharibu wakubwa wa hifadhi yetu ya Kimisi na Burigi wakishirikiana na Lembele
1. Bwana George 0784281154
2. Bwana Makoye 0687657720
3. Bwana Budugu 0785665791 au 0788920689
4. Mgema 0682243625
5. Rugina 0786900626[Mnyarwanda]
upi ukweli wa Lembeli kama anafikia kuwakingia kifua watu wanaoharibu hifadhi zetu wanyama wetu pori wanapotea, Lembeli hilo halijali uko wapi uzalendo wake mpaka apate huo uwaziri anaoutaka? Lembeli amefikia kumchukia sana katibu mkuu wa maliasili na utalii mama Tarishi na kutaka asimamishwe kwa kuwa huyu mama amekuwa kikwazo kikubwa dhidi ya machafu yake yote anayotaka kuyapenyeza wizarani.

Burigi IPO Wilaya ya Muleba kuna wanyarwanda wanna mifugo ni balaa so inawezekana Lembeli akawa nae kimeo huko
 
Asante sana kwa taarifa. Nadhani ni bora kabla hujamkosoa mleta mada ulifikirie mara mbili mbili mada husika. Jaribu na wewe kufanya utafiti wako juu ya mhusika. Elewa "baba yako anavyokutendea sivyo anavyomtendea mtoto wa jirani".
 
CCM hakuna msafi, kila mtu ana madhambi yake kwani ndivyo walivyokubaliana kuifilisi nchi! Kuondoa kero hizi ni kung'oka kwa CCm madarakani tuanze upya!
 
kwanza kabisa kwa upande wangu naelekeza lawama kwa maafisa wote wa idara ya usalama wa taifa [tiss]waliokuwemo katika hiyo operesheni tokomeza ujangili vipi walishindwa kutoa taarifa mapema kama kuna unyama unaendelea kufikia hapo, inabidi hatua zichukuliwe dhidi ya maafisa wote wa tiss waliokuwemo katika operesheni hiyo, kazi ya tiss ni kulinda heshima na nchi na kuzuia aina yote ya uvunjaji wa sheria na haki za binadamu.naomba dawati la operesheni kuwashughulikia haraka maafisa hao.

Nikija kwa mbunge j. Lembeli mwenyekiti wa kamati ya maliasili na mazingira huyu bwana ni hodari mno kukosoa wenzake lakini ameficha uchafu mkubwa na inadhihirisha jinsi gani alivyo mnafiki, lembeli anashirikiana na mafugaji wenzake kuharibu hifadhi ya wanyapori kule burigi na kimisi kwa kuweka maelfu ya ng'ombe anashirikiana na mafugaji ambao zinapokamatwa ng'ombe zao hifadhini na kutakiwa kutozwa faini wanampigia simu lembeli na kuwakingia kifua wasilipe faini, lembeli alikuwa akishirikiana sana na kagasheki akimtumia kumfanikishia mambo yake ikiwemo safari za wizara ambazo hazimuhusu lakini kagasheki alikuwa analazimisha itengwe bajeti aende na lembeli ndio maana wakati akisoma ripoti lembeli alitaka kuleta ujanja kutetea kagasheki na kumkandamiza katibu mkuu mama tarishi kwa kumuonea.
Wafugaji wafuatao ndio waharibu wakubwa wa hifadhi yetu ya kimisi na burigi wakishirikiana na lembele
1. Bwana george 0784281154
2. Bwana makoye 0687657720
3. Bwana budugu 0785665791 au 0788920689
4. Mgema 0682243625
5. Rugina 0786900626[mnyarwanda]
upi ukweli wa lembeli kama anafikia kuwakingia kifua watu wanaoharibu hifadhi zetu wanyama wetu pori wanapotea, lembeli hilo halijali uko wapi uzalendo wake mpaka apate huo uwaziri anaoutaka? Lembeli amefikia kumchukia sana katibu mkuu wa maliasili na utalii mama tarishi na kutaka asimamishwe kwa kuwa huyu mama amekuwa kikwazo kikubwa dhidi ya machafu yake yote anayotaka kuyapenyeza wizarani.

bora umesema.......tungoje majibu........halafu suala la meno ya tembo...linalofanywa na maaskari wa wanyama pori likuyu ........... Mbona wamelikaushia na watu waliouawa kule wala hatujasikia ...labda kule sio ...tz.....
 
Mi nangoja kusikia hadi sasa tembo wangapi wameuwawa na majangiri
 
mleta uzi yuko ok sanaa Lembeli ni hovyo anauhadaa umma kujitia mkosoaji si lolote ni shetani asubuhi jioni malaika, hajiulizi tembo wetu wangapi wameuliwa, hao waliotajwa na namba zao za simu ni wafugaji wakubwa wa ng'ombe hifadhini Lembele akanushe kama hawajui na hawasiliani nao kwa karibu huwa wanachanganya pesa na kumpelekea hilo liko wazi muongo mkubwa huyo.
 
Mh....bongo nani wa kumhukumu mwenzie..sema tumezidiana tu uzandiki...wasioonesha kujali ndio tunasema nao kwanza.. Lembeli kafanya alichostahili..
 
Hivi mnacheza na rushwa wanazotoa wafugaji,lazima udate?.
Wafugaji hasa hao wa kisukuma wanatoa rushwa balaa,niliwahi kamata kitengo cha kudeal nao,(private sector),yaani nilizikinai hela.
 
Hili la Lembeli kupewa rushwa na wafugaji na kuwalinda waendelee kuweka ng'ombe hifadhini liko wazi halina shaka, Lembeli hana ubavu wa kulikanusha hata sekunde moja, Lembeli ni mnafiki mpenda rushwa akiona hapati maslahi ndio utamuona kidomodomo ufisadi aliofanya kule TANAPA unatisha muulizeni mkurugenzi bwana Kijazi atawapasha hana hamu na Lembeli kabisaaaa. mimi naona JK ampe huo uwaziri nae ale hayo masiku yaliyobaki.
 
Watanzania tukumbuke tembo wetu wanazidi kumalizwa rasilimali yetu nyeti hiyo inapotea Lembeli anawatetea majangili wanazidi kutanua.
 
Back
Top Bottom