GE2015 Lembeli tumbo joto Kahama

kama kuna jimbo lolote hakuna maendeleo yaliyofanyika wa kulaumiwa namba moja ni serikali ya ccm inayokusanya kodi zetu...
 
Huu mwaka tunachagua tu ukawa, hata kama hajawahi kuonesha sura jimboni
huyo huyo tu anafaa kuliko kuichagua ccm
 
Acha uongo ss wana kahama ndio wamuzi wa mwisho. Na hii ngoma magamba nyie hamchomoki hapa kahama.....!!! Ww kula za kishimba alafu pita hiviiiiii.....!!!!! Tukutane October..!
 

Pole sana kwa kutoka povu bure. Unamjua au unamsikia Lembeli!? Kwa taarifa yako hata Magufuri na pushups zake hamfikii hata nusu.
 
Lembeli porojo nyingi,vitendo zero! Lazima tumpige chini term hii

Hivi Nkamia amefanya nini ktk jimbo lake au Abdalah Kigoda wa handeni wamefanya kitu gani na ubunge wamekaa zaidi ya miaka 20 mgesema mapema kabla hajahama tungewaelewa
 
Magamba kama wewe ndio wanao weweseka na matumbo moto.
Huyo mgombea wenu wa magamba hata kura 100 hapati, sasa Lembeli ahofie nini?
 
walewale........
Join Date : 30th September 2015

Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received 1

Likes Given 0
 
Laiti kura tungelipiga kwa kuangali ulichofanya hakika ccm msingepata hata mbunge mmoja maana wabunge wenu kazi yao usingizi tu hadi aibu
 
Vipi Chakaza ulienda kwenye madini! haha mm hata akishinda lembeli sijari sana nshu ni Magufuli peke ndie RAIS
Madini nitayaweza ndugu yangu? Nataka nifungue ka branch ka Building materials baada ya kusikia panakua kwa kasi sana. Ila nimeogopa niliposikia Mgodi wa Buzwagi unafungwa na ndio ulikuwa moja ya chanzo cha mzunguko mkubwa wa fedha Kahama. Yote tunakubaliana ila hilo la mzee wa Push ups hatutakubaliana kamwe MOTOCHINI
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…