Lembeli na ziara adis ababa

Lembeli na ziara adis ababa

mbopee

Senior Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
139
Reaction score
37
Nimeshangaa kumuona lembeli akiqa ziarani mjini addis ababa ile hali jimboni kwake kuna mahafa na wananchi wa naomba msaada yeye anafanya ziara ambayoo mm nahitaa ya anasa

***vumiliatukutaneoctober******
 
Wamesharudi, ni taarifa ya nyuma. Hata Mh Mnyika alikuwapo huko na leo una mbona Dar alikuwa na na wafanyabiashara akiwa na wabunge wenzie wa Dar. Hata hivyo hizi ziara za wabunge nje ya nchi ni upole u tu wa fedha. Ingekuwa na tija kama wangebweteka watendaji kwani ingekuwa endelevu.
 
Back
Top Bottom