Huyu jamaa hewa tu anajua hakuna alichofanya kwa watu wa jimbo lake sasa anahangaika ila atapoa tu msipate shida kabisa ni mwanasiasa mwepesi mla rushwa flani ambaye alitegemea kubebwa na Lowasa.

Kwa kahama ninavyojua hata akienda chama kingine ccm hawata hachia hilo jimbo imekura kwake akapumzike mapema kabisa ,akawarehe watoto wake,maana anatengemea nguvu za kimira sana