Lembeli akataa kubadili msimamo

Lembeli si alishawahi kuwa waziri kipindi Fulani? Au kumbukumbu zangu haziko sawa...
 
Kwa kahama ninavyojua hata akienda chama kingine ccm hawata hachia hilo jimbo imekura kwake akapumzike mapema kabisa ,akawarehe watoto wake,maana anatengemea nguvu za kimira sana
 
Lembeli si alishawahi kuwa waziri kipindi Fulani? Au kumbukumbu zangu haziko sawa...

sikumbuki vizuli hila hawa wote ni wale wasiweza kwenda na kasi ya magufuli ,acha wapumzike ,
 
Hahahaha!!!!! Mgeja yupo kwenye mapumziko ya Kisiasa kutokana na dharura ya mchakato wa uteuzi wa mgombea wa raisi!!!!! Kazi kweli
 
Kwa kahama ninavyojua hata akienda chama kingine ccm hawata hachia hilo jimbo imekura kwake akapumzike mapema kabisa ,akawarehe watoto wake,maana anatengemea nguvu za kimira sana

Unatafutwa uhamiaji
 
nngu007

Kumbe hata Mwenyekiti wake wa mkoa anajua kuwa lembeli ataondoka na wanachama wao wengi?
 
Last edited by a moderator:
Kauli ya khamis mgeja imenichekesha sana. Eti kwa sasa yupo mapumziko baada ya dhoruba kali ya kukatwa jina la Lowassa.

Furahini angalau kwa hilo maana tangu asubuhi ni maumivu na sononeko moyoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…