Lema: Zitto Nipe Majina ya wezi walioficha pesa Uswisi niwataje, kama wewe unaogopa kuwataja.

Status
Not open for further replies.
zitto aache unafki..ataje majina au ampe lema ataje kama alivyoomba..
Alivyoongea zitto leo hakika CCM wanamtumia.
 
Kutaja wezi nayo inataabu gani! Ni kweli inatakiwa watajwe ili tujuemoja namna ya kuwawajibisha ikithibitika ni pesa za wizi!

Sasa ngonjera za kila siku kuwa kuna watanzania wameficha fedha Uswiss bila kuwataja ni usumbufu kwenye akili na masikio yetu!!
 
Zitto anafanya siasa za kizamani sana.....anamika na CCM kuondoa hoja za masingi kwenye meza....maana amewafanya watu wengine wa-relax kufuatilia wakidhani angetoka nayo kumbe wapi...?
 
Lema hajui kuongea bungeni. mfundisheni namna ya kuwasilisha hoja bungeni. sio anaongea kama yuko na kwenye mkutano wa hadhara.
 
Lema hapendi unafiki.Sijui kutaja majina hayo kunahitaji rituals

Akishayataja ndio faida yake itakuwa nini? Ile list of shame ya slaa imeleta impact gani? Na kama lema anapenda sana kutaja majina hayo kwanini asiende kuyatafuta yeye.
 
CHAMVIGA; Wewe unafaidika nini na usiri wa kuwaficha wahusika? Na kulikuwa na haja gani ya Mhe.Zitto kutafuta majina ya wahusika kama hataki yatajwe?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom