Lema: Zitto Nipe Majina ya wezi walioficha pesa Uswisi niwataje, kama wewe unaogopa kuwataja.

Status
Not open for further replies.
Huyu Tamu Chungu SIAMINI KAMA YUKO TIMAMU, NILIDHANI ANGEJIKITA KTK HOJA ZA MSINGI KIMSUGUANO....kaanzisha hoja humu ya ajabu ajabu na imefutika ghafla lakini kuna hoja kwa hawa jamaa wawili....

"ZITO" AMEITAKA SERIKALI ISIOMBE GRACEPERIOD JUU YA WALIOFICHA HELA NJE YA NCHI NA AKASEMA SIYO ZA USWISWI KWANI NI BILIONI MIA TATU KADHAA WAKATI JERSEY ISLAND KUNA MORE THAN A TRILION.....AKAHITIMISHA KUWA MAJINA YAKITAJWA HAYATASAIDIA ILA LEO KAONGEZA WIGO KWA KUDAI WANAOFICHA HELA HIZO NI PAMOJA NA MAKAPUNI YALOWEKEZA HAPA NCHIN....

"LEMA" AMEANZA KWA KUITAKA SERIKALI KUMALIZA HII NGONJERA YA MABILIONI YA USWISWI KWA KWA KUWAWEKA HADHARANI WAHUSIKA WOTE, AKASISITIZA KWA KUSEMA ALIPOKETI ZITTO NI KARIBU NA MWANASHERIA MKUU WA SIRIKALI, AMEWAOMBA WAPEANE HAYO MAJINA NA KAMA KUWATAJA WAHUSIKA NI TATIZO BASI WAMPE MAJINA HAYO NDANI YA BUNGE AU NJE YA BUNGE NA YEYE ATAWATAJA WAHUSIKA NDANI YA BUNGE NA NJE YA BUNGE PASIPO KUHITAJI ULINZI MAANA ATAYAWEKA HADHARANI.....ANAENDELEA KUSEMA KWAKE LA MUHIMU NI KUKAMATA MWIZI NA KUMWEKA HADHARANI NA SI KUENDEKEZA VIBAKA WAFUNGWE !!!!

SASA KAMA HILI NDILO ULILOTAKA KUTUAMBIA BASI NIMEKUSAIDIA KUWEKA WAZI YALOZUNGUMZWA NA WAWILI HAWA .....

Naamini magazetini kesho kuna heading juu ya hili....la muhimu tuangalie hoja ya mtoa uzi huu uliopo juu ya mgongano wa waziwazi ulionekana leo Bungeni....

Nani yuko sahihi kati ya Zito na Lema? Kwa faida ya Umma au zao Binafsi? Tuwapime hawa jamaa....tupime sakata hili kwa uzito wake na tuhitimishe ni nani hasa ana nia ya dhati ya kutoa dawa ya kudumu....
 
zitto aache unafki..ataje majina au ampe lema ataje kama alivyoomba..
Alivyoongea zitto leo hakika CCM wanamtumia.

Lema apewe ayafanyie nini? Lema level yake ni wenje na sugu. ukimlinganisha na zitto ni kumuonea sana.
 
Kauli hii imetolewa hivi punde na mh.G.Lema (mb). Amesisitiza kuwa Ngonjera hii ya fedha za Uswisi ni lazima ifike mwisho, kwa kutaja wezi na kuchukuliwa hatua. Anasema yeye haitaji immunity kumtaja mwizi. Pia amesisitiza kuwa majina hayo apewe AG, na kama AG hayahitaji hayo majina basi ni miongoni mwa walioficha pesa Uswisi.
Lema amekuwa pole sana.
 
safi sana Lema, ka zitto kanataka ku hold watu hostage na taarifa ambazo ama hakana au kanajua hakawezi kutaja sababu kana vested interest.

kalisema katawataja katika mkutano huu wa bunge lakini mpaka sasa naona kana buy time tu.

safi sana lema kwa kukakumbusha.
 
Kauli hii imetolewa hivi punde na mh.G.Lema (mb). Amesisitiza kuwa Ngonjera hii ya fedha za Uswisi ni lazima ifike mwisho, kwa kutaja wezi na kuchukuliwa hatua. Anasema yeye haitaji immunity kumtaja mwizi. Pia amesisitiza kuwa majina hayo apewe AG, na kama AG hayahitaji hayo majina basi ni miongoni mwa walioficha pesa Uswisi.

Kwa nini Lema afanyiwe kazi, kama anataka amsaidie Zitto kuzifuatilia ili wachukue hatua stahili pamoja. Vinginevyo asubiri aliyeanzisha hii move bila shaka anajua nini cha kufanya ili kazi hii ikamilike.
 
Hahaaa...... ZZk anasikitisha sana, amebakia na kahoja ka kinafiki ka mabilion ya Uswis. Imebaki ni ngonjera kwake. Kama siyo unafiki ni nini mbona hataki kuwataja?
 
Huyu Tamu Chungu SIAMINI KAMA YUKO TIMAMU, NILIDHANI ANGEJIKITA KTK HOJA ZA MSINGI KIMSUGUANO....kaanzisha hoja humu ya ajabu ajabu na imefutika ghafla lakini kuna hoja kwa hawa jamaa wawili....

"ZITO" AMEITAKA SERIKALI ISIOMBE GRACEPERIOD JUU YA WALIOFICHA HELA NJE YA NCHI NA AKASEMA SIYO ZA USWISWI KWANI NI BILIONI MIA TATU KADHAA WAKATI JERSEY ISLAND KUNA MORE THAN A TRILION.....AKAHITIMISHA KUWA MAJINA YAKITAJWA HAYATASAIDIA ILA LEO KAONGEZA WIGO KWA KUDAI WANAOFICHA HELA HIZO NI PAMOJA NA MAKAPUNI YALOWEKEZA HAPA NCHIN....

"LEMA" AMEANZA KWA KUITAKA SERIKALI KUMALIZA HII NGONJERA YA MABILIONI YA USWISWI KWA KWA KUWAWEKA HADHARANI WAHUSIKA WOTE, AKASISITIZA KWA KUSEMA ALIPOKETI ZITTO NI KARIBU NA MWANASHERIA MKUU WA SIRIKALI, AMEWAOMBA WAPEANE HAYO MAJINA NA KAMA KUWATAJA WAHUSIKA NI TATIZO BASI WAMPE MAJINA HAYO NDANI YA BUNGE AU NJE YA BUNGE NA YEYE ATAWATAJA WAHUSIKA NDANI YA BUNGE NA NJE YA BUNGE PASIPO KUHITAJI ULINZI MAANA ATAYAWEKA HADHARANI.....ANAENDELEA KUSEMA KWAKE LA MUHIMU NI KUKAMATA MWIZI NA KUMWEKA HADHARANI NA SI KUENDEKEZA VIBAKA WAFUNGWE !!!!

SASA KAMA HILI NDILO ULILOTAKA KUTUAMBIA BASI NIMEKUSAIDIA KUWEKA WAZI YALOZUNGUMZWA NA WAWILI HAWA .....

Naamini magazetini kesho kuna heading juu ya hili....la muhimu tuangalie hoja ya mtoa uzi huu uliopo juu ya mgongano wa waziwazi ulionekana leo Bungeni....

Nani yuko sahihi kati ya Zito na Lema? Kwa faida ya Umma au zao Binafsi? Tuwapime hawa jamaa....tupime sakata hili kwa uzito wake na tuhitimishe ni nani hasa ana nia ya dhati ya kutoa dawa ya kudumu....
mkuu, tamuchungu yuko timamu sana. vyema ungehoji hali ya utimamu wa lema anaposema mahakama ya hospitali, jiji la arusha mjini hapo maana yake ni nini?? isije kuwa na wewe umevurugwa bila kujijua. otherwise asante kwa ufafanuzi mzuri.
 
For some reasons watu wasio na elimu maranyingi wanakua hawana uoga! with all due respect to watu wa Arusha Mh: Lema is very zealous but hamna content .........
 
Kwa nini Lema afanyiwe kazi, kama anataka amsaidie Zitto kuzifuatilia ili wachukue hatua stahili pamoja. Vinginevyo asubiri aliyeanzisha hii move bila shaka anajua nini cha kufanya ili kazi hii ikamilike.

acha uboya kama wewe gamba kalale huko, unafiki wa Zito tumeuchoka kama vp move ifikie mwisho, mnafiki mwenzako zt hataki kutaja ameona ndo hoja yake ya mwisho.
 
Hahaaa...... ZZk anasikitisha sana, amebakia na kahoja ka kinafiki ka mabilion ya Uswis. Imebaki ni ngonjera kwake. Kama siyo unafiki ni nini mbona hataki kuwataja?
mtu masikini wa kufikiri kama wewe huna mandate ya kujadili uwezo mkubwa wa utendaji wa zitto. mbowe mwenyewe anamuogopa ndio mana anamnyanyasa. sembuse wewe sisimizi
 
Taratibu za kimataifa zinakamilishwa
... basi ZZK angesubiri hizo taratibu zikamilike kwanza ndio aiibue tena hiyo hoja. Jana Mh. Mbarouk alimtaja mbunge wa Tabora Mjini Viti Maalumu (CCM) kuwa ni mbunge aliyetumia nafasi yake kujipa zabuni katika halmashauri hiyo. tunataka mtu atajwe kama hivyo
 
acha uboya kama wewe gamba kalale huko, unafiki wa Zito tumeuchoka kama vp move ifikie mwisho, mnafiki mwenzako zt hataki kutaja ameona ndo hoja yake ya mwisho.
tatizo ulilonalo wewe ni njaa ya kudumu ndio mana unatumika kama tambara la kufutia kamasi
 
watembea na sumu nao mnapaswa kulaaniwa vikali na kutajwa hadharani tuwapige mawe hadi mfe

Mkuu kufa ni lazima wafe tu,kinachofanyika kwa sasa ni kuthibitisha matukio yao tu kama hivi sasa!

Huwezi kutembea na sumu kwa lengo la kumuua mwenzako halafu we ukaendelea kupeta mitaani hivi hivi,ni ngumu sana!!
 
Suala la pesa za Uswisi Zitto anafanya unafiki huku akiona ni njia ya kujipatia ujiko wa kisiasa

Kwa nini asiwataje hao watu ili waitwe wathibitishe uhalali wa ukwasi huo??!! Si ni huyu Zitto aliahidi atawataja au ndio alisahau na unafiki???!!

Ni kweli ngonjera za Pesa za Uswis ziishe kama huyo mwenye Majina hawezi kuyataja.

uzalendo ni vitendo! Huyo ndio lema bwana! Lazima umkubali, hakuna kuficha jambo

Lema hapendi unafiki.Sijui kutaja majina hayo kunahitaji rituals

Mimi sio fan wa Lema ila wakati mwingine namkubali sana hasa kwa kauli yake ya kuwa yeye hataki immunity nimeipenda

zitto aache unafki..ataje majina au ampe lema ataje kama alivyoomba..
Alivyoongea zitto leo hakika CCM wanamtumia.

Jamani muacheni mzee wa kabaaang... kuna kitu lazima anakumbukia

Kutaja wezi nayo inataabu gani! Ni kweli inatakiwa watajwe ili tujuemoja namna ya kuwawajibisha ikithibitika ni pesa za wizi!

Sasa ngonjera za kila siku kuwa kuna watanzania wameficha fedha Uswiss bila kuwataja ni usumbufu kwenye akili na masikio yetu!!

Zitto hana majina

Hahaaa...... ZZk anasikitisha sana, amebakia na kahoja ka kinafiki ka mabilion ya Uswis. Imebaki ni ngonjera kwake. Kama siyo unafiki ni nini mbona hataki kuwataja?

Hivi mnajua hata boss wenu yupo,au mnang'ang'ania tu,?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom