Lema yupo ITV Live

Ana lalama tu kuhusu mabomu Mara ccm Hana hoja za kusaidia uchafu wa mitaa na shida za maji na umeme arusha barabara zimejaa vumbi tupu maeneo ya wanaomshabikia ndiko kumejaa vibaka na wasionakazi arusha Ina mateja na wazurulaji tu

Hayo majanga yote uyasemayo na aliyoyasema Lema yasababishwa na ccm kwa miaka takriban 52 sasa,na sio Arusha tu ni JANGA kwa TAIFA zima hivyo ni vyema KWA PAMOJA TUUNGANE KUITOKOMEZA.
 
ndo maana tanzania haiwezi pata watetezi wa kweli kama wananchi wasomi wanaweza kuongea na kufanya mzaha kwenye mambo ya msingi,tutazidi kuwa wasindikizaji,leaders are yet to be born in this country!"

tatizo wana ccm wengi akili zao zimedumaa.. Wanaangalia huyo anayeongea ni wa chama gani kwanza
 
Ndo maana Tanzania haiwezi pata watetezi wa kweli kama wananchi wasomi wanaweza kuongea na kufanya mzaha kwenye mambo ya msingi,tutazidi kuwa wasindikizaji,Leaders are yet to be born in this country!"

watu wameweka itaifa wao na kuwaza kwa kutumia makalio....
 
hajaongelea umeme make nimeachana na kuwasha air condition make yamekuwa maisha ya tabu kwa kila mtanzania

mimi mwenyewe kapasi kangu,kafriji kajiko vyote nimemuuzia muhindi flani hivi! Nimebaki na ka tv tu na tu vitaa vinne.
 
Kuwa mwana cc yemu ni sawa na kUWA NA akili zilizodumaa hzijui kufikiri
 
tatizo wana ccm wengi akili zao zimedumaa.. Wanaangalia huyo anayeongea ni wa chama gani kwanza

Huo ni upumbavu wa hali ya juu,eti kwa kuwa ni mpinzani basi anaongea pumba,jamani tuelimike,unaeshabikia CCM yabidi achunguzwe vizuri,kwa maovu yote wanayowatendea wananchi,ila ipo siku CCM itakufa!!Mungu atusaidie sana
 
Kuna mwana if mmoja hua anaomba picha kwenye kila siredi. Na mm naungana naye. Tuwekee picha tafadhari.
 
ila una kawaida ya kuandika ujinga ujinga. Hakika haya ni majanga sasa!

pole ndugu, Lema atazidi kuwanyima usingizi tu. Na bado mtaisoma namba....
khaa!! Namba ipi?? Labda kwa miniK wenzie
 
Ana lalama tu kuhusu mabomu Mara ccm Hana hoja za kusaidia uchafu wa mitaa na shida za maji na umeme arusha barabara zimejaa vumbi tupu maeneo ya wanaomshabikia ndiko kumejaa vibaka na wasionakazi arusha Ina mateja na wazurulaji tu

we kweli kwato hiv unaijua CCM we wapende tu mwisho wa siku mpk usikie yalowapata wa opereshen tokomeza wakuingize chupa au uingiliwe na wanaume watatu ndo utajua wanaolilia nchi hii ikombolewe ni akina nan hamna jipya ccm mnafanya vitu kwa upepo mnatumia makalio kufikiri heb tafakari aloingizwa chupa angekuwa mama yako mzaz then mwangosi awe mjomba ako na kubanda awe babaako mdogo ungekuwa unapost huu use...ng... hapa??
 
waambie walinzi wakae macho kama kuna magari pembeni ataiba huyo ni mzee wa kazi zombe alisha wataadharisha

hayo ni maneno baada ya kupokea buku saba zako rumumba hutumii akil ushapga viroba lema na babaako nan anapesa?? usiongee tu kama huna meno tafakari yalotokea kwny operation tokomeza halaf fkria ungekuwa unapost ujinga huu hapa tumia akil kufanya mambo yako uctumia unakokalia
 
Ni vigumu sana kwa watu waliojitoa ufahamu kuelewa kamanda Lema anazungumza nini, lakini wafahamu kuwa Lema na watu wa aina yake ni wakombozi wa watu wote, ikiwa ni pamoja na ndugu zao waishio katika mazingira magumu, si jambo la busara kuandika upuuzi kwenye mambo ya msingi, badliikeni tulikomboe taifa.
 
huyo nchimbi atuweke wazi na aliyemtuma kulipua kanisa na mkutano wa chadema Arusha....

Walikuwa MBunge wa Arusha Mjini -Lema na Albert Obama -Manyovu Kigoma kipindi ni Uzalendo ,mada Tokomeza majangiri Isakwisa naona kama moderator kama hataingiliwa kipindi kitapendeza sana
Waliuizwa taratibu nji na maauziwalyofanya kama wbne uwasulubu maaziri mpaa wakajiuzuru na wenine kufukuzwa, Ripoti ya kamati ya Lembeli na Caucus ya CCM na mammuzi yao na walivyoweza kuuuungana na upinzani kuhakikisha seriali inawajibishwa
Albert alisema umoja wa wabunge wa CCM kwa kusaidiwa na wabunge wa upinzani ndio ulipelekea maamuzi hayo yaliyotokea na akasema walijadili sana kwenye caucus yao na walimwomba waziri Pinda ahakikishe Mawaziri wanawajibika baada ya kuulizwa swali na Isakwisa kwamba mbona nyie CCM muliacha kutetea wananchi waliodhurumiwa haki yao na kuteswa ambapo wapinzani walikuwa kifua mbele kutetea

Baadaye Isakwisa alimuuliza Lema ,Lema alisema operesheni yenyewe ilifanywa vibaya kwani kamati za usalama kwenye maeneo husika walikuwa hawajapewa habari wala kushirikishwa kwenye operation imagine mkuu wa usalama wilaya ,mkoa,police kwenye eneo husika hawajui ,hao wafanya operation wangefanikiwaje
Akaendelea kusema wana CCM katika hili walijivika utaifa kwa kuigiza kwa sababu kuna maswali mengi ambayo walitakiwa kuyazungumzia wamezungumzia lipoti ya kanisani la olasiti kwa sababu wakatoliki ni wengi na mtandao nchi nzima wanajua kamati ikiongelea wakatoliki watapata kula kwa sababu hakukuwa na sababu ya kuacha kuongelea bomu la Soweto ambako wabunge wenzao wangeliuliwa siku hiyo

Akaendelea kusema kama wameshindwa kuongelea habari za wabunge wenzao,watoto wane na watu wazima waliokufa na wananchi wengine 120 utasema walikuwa na dhamira ya kweli hapana ni maigizo
Alisema pia yeye kama mbunge ameongea bungeni kwamba bunge liidhinishe kumtaka raisi aunde tume ya kijaji kuchunguza bomu la Soweto akasema serikali ya CCM na usalama wa taifa na polisi walikuwa wanamlazimisha mwananchi Fulani AMTAJE LEMA KWAMBA NDIYE ALIYERUSHA BOMU ANASEMA KILICHOMUOKOA HUYO MTU ALIYEPIGWA KIASI CHA KUSHINDWA KUTEMBEA NI KWAMBA ALIFUNGWA JELA MIAKA THELATHINI BOMU LIKITUPWA ALIKUWA HAJATOKA JELA NA ALIKAATAA KUSEMA KAMA POLISI WALIVYOTAKA JAPO ALIUMIZWA SANA

aNASEMA ALIMLETA MTU HUYO BUNGENI ATOE USHAHIDI MBELE YA WAZIRI MKUU SPIKA HAKUMPA NAFASI
aNASEMA WA KUWAJIBISHWA NI YULE ALIYETOA AMRI YA KUFANYIKA KWA OPERETION AMBAO NI rAISI,cdf,NA igp
 
Ana lalama tu kuhusu mabomu Mara ccm Hana hoja za kusaidia uchafu wa mitaa na shida za maji na umeme arusha barabara zimejaa vumbi tupu maeneo ya wanaomshabikia ndiko kumejaa vibaka na wasionakazi arusha Ina mateja na wazurulaji tu
Kazi ya kutowa vumbi barabarani siyo ya rema ni ya ccm.!
 
Ana lalama tu kuhusu mabomu Mara ccm Hana hoja za kusaidia uchafu wa mitaa na shida za maji na umeme arusha barabara zimejaa vumbi tupu maeneo ya wanaomshabikia ndiko kumejaa vibaka na wasionakazi arusha Ina mateja na wazurulaji tu

Unayafahamu majukumu ya mbunge au unatokwa povu tu kama chizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…