Ana lalama tu kuhusu mabomu Mara ccm Hana hoja za kusaidia uchafu wa mitaa na shida za maji na umeme arusha barabara zimejaa vumbi tupu maeneo ya wanaomshabikia ndiko kumejaa vibaka na wasionakazi arusha Ina mateja na wazurulaji tu
Arusha hakuna mateja, barabara kuwa navumbi wa kulaumiwa ni serikali kwasababu onakwapua kodi zetu, lema hakusanyi kodi...ila amesimamia vizuri mkopo wa WB mpaka wakaongezwa bil 20 baada ya pesa kubaki kwenye bajeti ya awali kitu ambacho wb walisema haijawahi kutokea kwenye ukanda wa EA..
Mkuu,
Sidhani kama unaifahamu vzuri Operation Tokomeza! Watu wameteswa, wakina mama wamebakwa, Diwani ameminywa makende na koleo, watu wamekufa, mifugo imeuawa, na hakuna jangili aliyekamatwa!
Kama yaliyotokea yangemkuta mmoja wa wanafamilia yako, ungechangia kwa hapa akili yako na si msukumo wa kisiasa!
Umenisikitisha sana!
Ndo maana Tanzania haiwezi pata watetezi wa kweli kama wananchi wasomi wanaweza kuongea na kufanya mzaha kwenye mambo ya msingi,tutazidi kuwa wasindikizaji,Leaders are yet to be born in this country!"