anaongelea kuhusu operasheni tokomeza wabunge wa ccm walikuwa wanaiga walikuwa hawana dhamira ya ukweli
Imeshaisha, kamanda Lema ametema nondo za ukweli, amesema aliyewatuma jeshi kuua na kutesa watanzania ni rais Jk ambaye pia ni mwenyekiti wa ccm. Amesema ccm ndiyo wanaofanya biashara ya ujangili, na wao wao ndiyo walioua na kutesa raia wetuItv ya wapi?
Saa moja hii Kamanda Godbless Lema na Albert wapo ITV wanazungumzia Operation Tokomeza.Lazima ateme pumba tu...
Saa moja hii Kamanda Godbless Lema na Albert wapo ITV wanazungumzia Operation Tokomeza.
Lema katoa nondo za ukweli, amesema Nchimbi alikuwa mkweli aliposema naomba mungu anipe roho ya kusamehe, ni kwasababu aliyetuma kuua watu na kuwatesa na rais wa nchi
anaongelea kuhusu operasheni tokomeza wabunge wa ccm walikuwa wanaiga walikuwa hawana dhamira ya ukweli
huyo nchimbi atuweke wazi na aliyemtuma kulipua kanisa na mkutano wa chadema Arusha....
anaongelea kuhusu operasheni tokomeza wabunge wa ccm walikuwa wanaiga walikuwa hawana dhamira ya ukweli
lema ni kamanda wa jeshi gani?