Tune Sunrise Radio mliopo Arusha.
Mh anaongea, anawararua Polisi na RC, anatema hoja za nguvu, na anasimamia haki.
Anazungumzia uchaguzi wa kata ya Sombetini. Anasema kuwa uchaguzi wa Sombetini kwa nini hauitishwi? Anasema kama Uchaguzi wa Kata ya Sombetini haufanyiki, basi Mh Mawazo bado ni Diwani wa CCM kwa uwakilishi wa CHADEMA! Na kuwa hataenda Bungeni kwa ajili ya hilo, akienda Bungeni atakula sahani moja na Pinda (maneno yangu).
Anasisitiza; DHAMBI KUBWA KULIKO ZOTE NI WOGA!