Lema waombe radhi Diaspora na DW-Swahili

Ungeandamana sasa kama Lema avyosema- umepewa euro 20 halafu unakataa kuandamana halafu unaleta porojo humu
Kama unavyoandamana pale geti la kijani kuwezeshwa kupandisha utopolo humu sio na siasa zako za roho mbaya.
 
Ni kweli taarifa ya Lisu, ya mambo aliyoongea na Mje. Rais Samia inaonekana ni maagizo ili Rais atekeleze. Hili ndiyo tatizo la Lisu la kujikweza na kuonyesha kuwa yuko juu ya kila mtu.

Mdogo akiongea na mkubwa, ni mkubwa ndiyo anatoa taarifa ya kilichoongelewa; kinyume chake ni kuukosa adabu.

Huku ndiko kukoroga mambo kulivyo.
Ungekaa nafasi ya Lissu alafu upiigwe risasi kibao, ungeelewa kwanini Lissu anaongea bila hofu hata mbele ya huyo unayemuita mkubwa
 
Kwanza sina chama.

Kuhusu Lema: Binafsi sijawahi kumuona Lema kama ana akili. Ni mtu ambaye anajiona ana akili lakini hana akili.

Kuhusu Lissu: Lisu ana akili lakini hana maarifa. Matokeo yake kinamgharimu anakuwa mropokaji. Akitaka kujifunza uwana harakati ajifunze kwa Malcolm X.
 
Haki ha
Haki haiombwi hata kenge habembelezi kuiomba anayoamini ni haki yake, hapo hana akili vipi kwa wanaouza mbongo zao pale mtaani kwao? SI watazidiwa na kenge Kwa uelewa na kunitambua?
Kama haki haiombwi mbona wamekimbia nchi Mzee??
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kwanza sina chama.

Kuhusu Lema: Binafsi sijawahi kumuona Lema kama ana akili. Ni mtu ambaye anajiona ana akili lakini hana akili.

Kuhusu Lissu: Lisu ana akili lakini hana maarifa. Matokeo yake kinamgharimu anakuwa mropokaji. Akitaka kujifunza uwana harakati ajifunze kwa Malcolm X.
 
Haki inawezekana kuiona na kuisimamia ukiwa na afya, nguvu na zaidi uhai ukiwepo, au wewe unawazaje hata kuuliza Hilo swali
Umesahau kimoja, nacho ni akili+maarifa kwa sababu kuyapigania hayo kuna hitaji mbinu.

Nimeongezea ulichokiandika ila bado hujanijibu: Muktadha au dibaji yetu ni kuwa haki haiombwi! Ukiwa huo ndiyo msingi mbona wamekimbia nchi?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ukiwa huru na ukiwa muangaliaji wa mambo yanavyokwenda yanamfanya mhusika kung'amua mengi.

Kipindi hichi Mbowe kukamatwa Chadema wamepoteana pakubwa sana kufanya mambo kimkakati. Akili zao zimeonekana zipoje!

Lema hajui na hajijui kama hajui. Yaani hana akili. Huwa napitia tweet zake huwa najiuliza huyu jamaa huwa anafikiria au anaandika tu?!
 
Umesahau kimoja, nacho ni akili+maarifa kwa sababu kuyapigania hayo kuna hitaji mbinu.

Nimeongezea ulichokiandika ila bado hujanijibu: Muktadha au dibaji yetu ni kuwa haki haiombwi! Ukiwa huo ndiyo msingi mbona wamekimbia nchi?
Kuponya uhai, ili hiyo afya iwepo, nguvu na maarifa viwepo pia, unajidai kuwa hukuwahi kuwasilia au kuwajua wasiojulikana ama🤔.
 
Back
Top Bottom