Christopher kimonge
Member
- Sep 9, 2014
- 87
- 12
ndg mheshimiwa sana mwanasheria. tuweke pembeni mahaba yako kwa lema; tueleze ni nini hasa cha maana lema alichokifanya arusha? wakati mwengine mnajidhalilisha tu. tena bora hata ungekuwa na ID fake kama yangu kuliko hiyo yako ya uhalisia halafu unaishia kuposti pumba tu humu.Mkuu Abunuas, wewe jenga majungu tu. Wewe ni kati ya waoga wa ID feki. Mimi si mtu wa mchezo ndugu. Endelea kujidanganya na kujificha
Nipo hapa Arusha kuhudhuria Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika. Nimefika hapa jana na nitakuwa hapa hadi Jumapili. Naomba kukuuliza Godbless Jonathan Lema,Mbunge wa Arusha Mjini tulipo Mawakili kwa sasa.
Lema,leo tuambie hapa nini hasa kinachowafanya wana-Arusha wakuamini na kukuheshimu? Wananchi wako wanakuimba kwa mema kwelikweli.
Hata sisi Wasomi wa sheria tunajiona tuko huru na salama kwenye jimbo lako. Lema kiukweli ameiteka na kuikamata Arusha.
ni aibu kwa mtu unaejiita mwanasheria kutumika kiasi hiki. hii ni afadhali hata ya condom.
MUSSA ALLAN,mimi ni mwanasheria kweli na nipo hapa Arusha. Kama unajiamini tutafutane tujadiline kuhusu nchi yetu hata kwa dakika tano. Nitaondoka Jumapili
Mkuu 999 naomba urudie kusoma nilichoandika kwamaana ulikuja vibaya mwenzoni kwenye uchangiaji wa comment yangu ila mwishoni ukamaliza vizuri.
Nahisi umechanganya sentensi.
Kiboko ya wanafiki kama wewe Hon, prophet Lema ndie mwamba wa kaskazini , kafutilia mbali dhambi ya uoga Arusha .ni aibu kwa mtu unaejiita mwanasheria kutumika kiasi hiki. hii ni afadhali hata ya condom.
naona nawewe unaunga tela kusifia ujinga. binafsi nasema hivi chadema wachague mtu mwengine wa kuliwakilisha jimbo la arusha na sio yule zero brain. siamini kama kweli pale arusha hakuna akina lisu, mnyika, zitto, mdee, msigwa na wengineo wengi. tunahitaji vichwa kulisogeza taifa hili na sio makalio.Kiboko ya wanafiki kama wewe Hon, prophet Lema ndie mwamba wa kaskazini , kafutilia mbali dhambi ya uoga Arusha .
Wahuni wako lumumba unafuta viatu unapewa huku wa wilaya
Lema ni maarufu kwa majambazi wenzake akiwemo mleta mada ndio maana unampenda
Ni uwezo tu wa kufikiri na kung'amua mambo. Watu wa Arusha wengi wao upstairs kuko sawa nowonder hawawezi kuikumbatia CCM. Walishasema hata CDM wakiweka jiwe wao wanalipia kura kuliko kuipa kura CCM. CCM watabaki pwani tu na kusini kwenye raia wanaodanganyika kirahisi!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app