Anae sema Mh lema ajaleta maendeleo yuyo atakuwa punguani kabisa lema pamoja nakufanya kazi kwaku ujumiwa sana na mateso makubwa kwa polisi bado ameweza kusimamia mapato ya jiji kupanda kutoka makusanyo ya milion 200 kwa mwenzi hadi bilion 1.6 kwa mwezi