Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 49,681
- 39,012
Wanaukumbi.
Mwaka 2013 Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Mh Godbless Lema alizungumza na waandishi wa habari kuzungumzia mrejesho wa ahadi zake mbalimbali kwa wananchi na kueleza kuwa ahadi yake kujenga hospitali ya kina mama na watoto.
Lema alisema ujenzi wa hiyo hospitali utagharimu dola milioni 3.2.
Tulikuwa tunaulizia huo ujenzi wa hiyo hospitali umeishia wapi au wameishamaliza kuijenga.
Wakazi wa Arusha tupeni taarifa.