Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Ninafikiri uhuru wa habari /demokrasia utapozimwa ndipo tutakuwa tumefika hatua nzuri ya kudai uhuru kamili wa Taifa letu . Don,t give up
ni uhuru wako kutoa maoni yako na yataheshimiwaNitacomment baadae nazuia nafasi ya jose.
Usijali ikizimwa utabaki na majivu.nafuu uzungumzie udhaifu wa serikali,lakini umetoka kutoka.mwanaharakati na sasa eti mgombea uhuru?hata mandela hajawa hivyo yeye aligombea uhuru pekee,hii mambo ya kusoma vitabu vya che guavara halafu unaiga kila kitu hadi unasahau maana ya kugombea uhuru,mavazi uige ,uhamasishaji uige na kudai uhuru uige pia? Come on,hii serikali ina mapungufu nyingi sana umekosa hata ya kusema bashite anaongoza nchi,lema please,nammiss sana Tundu lissu anaongeaga vitu vina ingia akilini,mungu amponeshe arudi.Ninafikiri uhuru wa habari /demokrasia utapozimwa ndipo tutakuwa tumefika hatua nzuri ya kudai uhuru kamili wa Taifa letu . Don,t give up
View attachment 624648
Uhuru wakuandika asilimia Sitini ya watanzania wako kwenye dozi ya ARV?!?Ninafikiri uhuru wa habari /demokrasia utapozimwa ndipo tutakuwa tumefika hatua nzuri ya kudai uhuru kamili wa Taifa letu . Don,t give up
View attachment 624648
Tofautisha kosa lililo ndani ya uhuru na uhuruUhuru wakusema asilimia Sitini ya watanzania wako kwenye dozi ya ARV?!?
Tofautisha kosa lililo ndani ya uhuru na uhuru
Ninafikiri uhuru wa habari /demokrasia utapozimwa ndipo tutakuwa tumefika hatua nzuri ya kudai uhuru kamili wa Taifa letu . Don,t give up
View attachment 624648