Lema to Nassari: "Nitakupa mil. 10.... Jipe moyo utashinda"

"Nassari alisema mwaka 2010 alipoamua kugombea ubunge akiwa kijana mdogo, alikwenda kwa Godbless Lema kuomba ushauri wa kugombea nafasi hiyo.

Alisema Lema alimshauri akapambane katika chama na akipitishwa kura za maoni, amfuate atampatia Sh. milioni kumi na alipomfuata baada ya kupitishwa Lema alichukua karatasi alimwandikia tumaini, jipe moyo na utashinda, akampa akamwambia hiyo ndiyo milioni kumi".

Hoja ni Millioni 10 na sio kumsaidia hamasa Joshua Nassari au lah....naomba Lema asipewe cheo cha umalaika kana kwamba hana mapungufu ya kibinadamu au hawezi kukosea, tupunguze ushabiki wa kijinga.

mkuu hii milioni 10 mbona inakushughulisha sana....!
 
mkuu hii milioni 10 mbona inakushughulisha sana....!
Mkuu mimi ni Chadema damu kabisa kuliko hata baadhi ya wanaojiona kwamba ni Chadema zaidi, isipokuwa hapa ninachokijenga ni kwamba tukubaliane kutokukubaliana katika baadhi ya mada nadhani point zangu ziko clear......unless otherwise hii thread haikuwa na mashiko inatuharibia tu radha ya Ushindi wakati tupo kwenye kipindi cha furaha.
 
Thread uchwara ndio hizi......karatasi linaweza kugharamia kitu gani katika kampeni? unaweza kwenda kwenye mgahawa ukapewa chakula na baada ya chakula ukawaonesha likaratasi kwamba haya ndiyo malipo?

mijitu mingine inshangaza, kwani lazima uchangie? ukiona haiingii akilini mwako achana nayo
 
Thread uchwara ndio hizi......karatasi linaweza kugharamia kitu gani katika kampeni? unaweza kwenda kwenye mgahawa ukapewa chakula na baada ya chakula ukawaonesha likaratasi kwamba haya ndiyo malipo?

Hujaelewa concept ya Lema ila Nassari alielewa ...
 
mijitu mingine inshangaza, kwani lazima uchangie? ukiona haiingii akilini mwako achana nayo
Ulevi huu ndio nisiokubaliana nao......
Mbona wewe ujaachana na mimi? kwa nini unahubiri usichokisimamia? ukiniita Jitu kwangu ni sifa kubwa....tafuta kitabu kinaitwa ALIITWA JITU ndio utanielewa.
 
Pesa c kila kitu. Kma pesa ni kila kitu ccm wagengeshinda kabla ya kuanza kupiga kura. So "Million 10" zaLema zilimtosha Nassari sasa imekuwa>. Huyo HAOI anatoka kwenye familia ya waliokwapua lakini wapiiiii. pepoz........................................power
 
Lema kamtosa mwenziwe milioni kumi, kisha hapa tunataka kumpamba! Kweli ukipenda chongo utaita kengeza
 
Lema kamtosa mwenziwe milioni kumi, kisha hapa tunataka kumpamba! Kweli ukipenda chongo utaita kengeza
Thank you Gaijin, what an exquisite mind u have, huna ushabiki wa kuangalia mambo kinazi-nazi, na kichama chama, unasema mambo kama yalivyo. Ni kweli kabisa hawa wanapenda chongo wanaita kengeza, pengo wanaita mwanya, wanakubali kuwa clouded with partisan sensationalism.

but delayed justice is still justice.
hapana, delayed justice haiwezi kuwa justice. Kama mtu alistahili kushinda toka zamani akashindishwa hapo hakuna justice, period. Haijalishi amekuja kushinda lini.

Lema alimdanganya Nassari kwamba atampa milioni kumi akishinda tiketi ya CHADEMA, Nassari akashinda akenda kwa Lema kuchukua hela za kumsaidia kufanya kampeni, akapewa kikaratasi cha pep talk. Huyo mtu tayari ni muongo, sasa bila ushabiki wala unazi tuseme ukweli, Lema alimwongopoea Nassari.
 
Na ahadi alizotoa kwa wanajimbo wake, nazo tusubiri kutekelezwa kwa aina hii?
 
Inategemeana na uelewa wa issue yenyewe, lakini ukijifikilisha kwa mapana wawezapata jibu, .......politics is not all about monnie, waweza kuwa nazo na usipate unacho kitamani.......if your here for monnie this is not your right place...and so on. kama ni kweli GM alishayafanya hayo, the guy is thinking another level and it is true thred hii utaiona uchwara!!!!!
:yo:
Thread uchwara ndio hizi......karatasi linaweza kugharamia kitu gani katika kampeni? unaweza kwenda kwenye mgahawa ukapewa chakula na baada ya chakula ukawaonesha likaratasi kwamba haya ndiyo malipo?
 
Lema kamtosa mwenziwe milioni kumi, kisha hapa tunataka kumpamba! Kweli ukipenda chongo utaita kengeza
Hata nyie bibi vizee wa JF Lema anawakosesha usingizi lol??
Mkisikia hili jina vinina vinaruka poleni sana!!
 
Vilaza bandwagon,
Mshakula kichapo mnachofanya hapa ni kujifariji kwa kujifanya kutoelewa..
Thank you Gaijin, what an exquisite mind u have, huna ushabiki wa kuangalia mambo kinazi-nazi, na kichama chama, unasema mambo kama yalivyo. Ni kweli kabisa hawa wanapenda chongo wanaita kengeza, pengo wanaita mwanya, wanakubali kuwa clouded with partisan sensationalism.

hapana, delayed justice haiwezi kuwa justice. Kama mtu alistahili kushinda toka zamani akashindishwa hapo hakuna justice, period. Haijalishi amekuja kushinda lini.

Lema alimdanganya Nassari kwamba atampa milioni kumi akishinda tiketi ya CHADEMA, Nassari akashinda akenda kwa Lema kuchukua hela za kumsaidia kufanya kampeni, akapewa kikaratasi cha pep talk. Huyo mtu tayari ni muongo, sasa bila ushabiki wala unazi tuseme ukweli, Lema alimwongopoea Nassari.
 
Tatizo lako ni mvivu wa kushughulisha ubongo wako kufikiri!!!....nyie watu mtaelewa lini sasa!!
 
Sugu+na+mistari.JPG

Werawera CHADEMA!

Hii picha natamani waione Kiwete,Nkapa,Nnepi na Waziri wa Usingizi-Bwana Wassira ili wapate picha halisi ya kile kilichotokea Arumeru East. Hizi ni salamu kwa Chama Cha Majambazi-CCM kuwa muziki wa CHADEMA ni mnene na kamwe CCM wasitegemee kurudi Ikulu mwaka 2015.

Hizi ndiyo salamu za mjomba.

Wabeja sana.
 
Back
Top Bottom