Hongereni Chadema kuonesha Picha yenu halisi dhidi ya Uislam, Wabunge watano wa Chadema wote wamekariri kilio cha Mwadhama Pengo kuwa Kikwete Mdini ila hakuna alojaribu kusemea kilio cha waislam. Haya Waislam mlio chadema kazi kwenu!
Lema kaishaona mambo magumu anatafuta pakutokea tatizo la kuropoka ovyo.
Lema peleka ushahidi bungeni acha kulia lia.
Siku saba siyo nyingi.
Lema Waislam wanataka kujua udini wa JK ili wapime serikali ya JK dini ipi wamejaa serikalini Waislm au Wakirsto.
wewe acha hizo. Mbona unaongea uongo hadharani? Lini pengo alisema kikwete ni mdini? Kwa kuwa katiba ibara ya 18 inakupa uhuru wa kutoa maoni sishangai kwa ulichokiandika, ila jaribu kuandika facts ili zitusaidie watanzia
Lema kaishaona mambo magumu anatafuta pakutokea tatizo la kuropoka ovyo.
Lema peleka ushahidi bungeni acha kulia lia.
Siku saba siyo nyingi.
Lema Waislam wanataka kujua udini wa JK ili wapime serikali ya JK dini ipi wamejaa serikalini Waislm au Wakirsto.
bora aupeleke huko huko bungeni. Zaidi anaweza kukichafua chama chake.maana watz sasa watajua kwamba chadema ni chama cha dini gani
Lema kaishaona mambo magumu anatafuta pakutokea tatizo la kuropoka ovyo.
Lema peleka ushahidi bungeni acha kulia lia.
Siku saba siyo nyingi.
Lema Waislam wanataka kujua udini wa JK ili wapime serikali ya JK dini ipi wamejaa serikalini Waislm au Wakirsto.
Mbunge wa Arusha mjini ametoa kauli nzito kuhusu yeye kutoa ushahidi wa kudhibitisha kauli yake bunge kuwa Raisi JK ni mdini, amesema kamwe hata peleka ushahidi wake uchochoroni tena kama alivyofanya awali pale alipomtuhumu PM Pinda kuwa alisema uongo bungeni.
Hapo nakubaliana sana na Lema, nafikiri Speaker ampe nafasi adhibitishe japo kufanya hivyo kunaweza kuleta balaa hasa pale atakaposhusha nondo za kweli!!
Kwanza tunataka kuuliza uvaaji wa hijabu mashuleni ulianza mwaka 2010? Ni nani aliruhusu uvaavji huu huku akijua kuwa ni kuanza kugawa watanzania kidini? Tulisoma enzi zetu bila haya mambo na hakukuwa na tabu. Shame on you watu mnasema CDM inazungumzia udini. Mambo wawaanzishe wao halafu leo mnabambikiza CDM?
Mi nakubaliana na lema kwan hakuna sababu ya kuthibitisha udini wa Jk wakati ule wa Pinda haujawai somwa popote wameukalia 2 huko washenzi sana hawa spika na jopo lake wanakula hela za bure na hakuna wanalolifanya la msingi
Hongereni Chadema kuonesha Picha yenu halisi dhidi ya Uislam, Wabunge watano wa Chadema wote wamekariri kilio cha Mwadhama Pengo kuwa Kikwete Mdini ila hakuna alojaribu kusemea kilio cha waislam. Haya Waislam mlio chadema kazi kwenu!
Waislamu walioko CHADEMA wahamie CUF, lakini ukumbuke kuwa naibu katibu wa CUF Julius Mtatiro alisema yale yale ambayo Lema aliyasema.Hongereni Chadema kuonesha Picha yenu halisi dhidi ya Uislam, Wabunge watano wa Chadema wote wamekariri kilio cha Mwadhama Pengo kuwa Kikwete Mdini ila hakuna alojaribu kusemea kilio cha waislam. Haya Waislam mlio chadema kazi kwenu!
Limekuwa la waislamu tena mkubwa?