UHURU ni gazeti la unafki sana $$$v^& ()6^n zao, ni aibu sana kwa mwandishi wa habari aliyesomeshwa na kodi za watz maskini anapotumia elimu yake kuwadanganya na kuwaibia waTz kama wanavyofanya hawa waxxxx^^() wa uhuru,wamekunywa sumu kali sana na inawamaliza taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu bila wao kujua. Hatutaacha kuandamana mpaka kieleweke, hawa wa xxxxxx$# wa uhuru na magamba wamezoea siasa rojorojo, ngoja tuwape siasa ngumu kama Igneous rock mpaka watapike nyongo zao, mapafu, pancrease na doudenum zao.watanzania tumeamka sikunyingi na tunaungana na Mh lema kuwa hatutaacha kuandamana mpaka maskini waTz atakaposikilizwa, sisi kwa pa1 tutaandamana usiku na mchana mpaka vijana waTZ Watakapopata ajira rasmi na sio hizi za jk za kuokota makopo ya maji ya uhai, sayona, masafi n.k barabarani. lema big up