nimepita hapo stadium ccm wanakata mauno kama wanalalwa..
Arusha Mna wabunge wawili tu halafu mnajifananisha na CCM? Eti Arusha ni ngome ya CHADEMA...acheni kupotosha Umma, Najua LEMA na Nassary wameshajipanga kununulia vijana viroba ili wawashangilie wakati wanamwaga Pumba na matusi jukwaani!

Hakuna Jipya watakalolileta kama kawaida yao, sana sana Mipasho tu, wananchi wa Arusha wameshawachoka hawa wahuni.
Maadui wa Chadema wanakesha mitandaoni na makamanda wa ukweli wanajenga Chama.
Hakunaga kama Lema Arusha!
Mkuu umenikumbusha ushindi wa nne kwa beseni...Wamewachoka kwa kuwachagua au? Maana ni juzi tu wamepanda majukwaani na kuchukua kata nne muhimu. Toa hoja na ushahidi kuhusu kuchokwa kwao. Vinginevyo unashinda msalani na kutabiri mambo ya barazani.
Watakesha sana Molemo ila wakae wakijua kuwa sauti ya wengi ni sauti ya Mungu... Sisi bado tunawaombea waishi miaka mingi ili tutakapofanikiwa wajionee kwa macho!