Mwenge hauhusiani na dini wala imani yoyote.. Mwenge unaashiria Uhuru na Utaifa.. Ni heshima kubwa kuwa na mwenge mpaka leo...
Acha kupotosha mwenge mmeandika kuwa unaleta nuru na matumaini kwa kuangaza ndani na nje ya tanzani. Hii ndio utopian au nadharia imagination ya mwenge sasa soma hapa kwa makini. Usitutowe kwenye hoja.
Sasa kwasababu huo mwanga na nuru unayozungumzia hata ukiwaka vipiunamulika mita mbili tu.Kwahiyo ni
imagination kuwa unamulika hadi nje
ya nchi. Chochote kinachofikirika huwa
kipo kiroho na si asilia. Na chochote
cha kiroho huwa ni cha Mungu au
cha Shetani hakiwezi kuwa katika.
Kama ni chema ni cha Mungu kibaya
cha shetani.
Sasa wewe umesema mwenge unatoa
matumaini pasipo na matumaini. Kwa
wakristo Yesu mwenyewe anasema
hivi "Mimi ndio.nuru na uzima".
Kwahiyo kusema mwenge ni nuru ni
kuwaletea wakristo Mungu mwingine.
(Hapa waisikamu nao watanisaidia
kufafanua upande wao ambao sijui).
Anafafanua zaidi usimwaabudu
Mungu mwingine ila mimi tuu. Sasa
kwa maelezo yako hapo juu ni dhairi
hatuwez wakriso tukatengeneza nuru
nyingine nje ya Mungu tulie naye.
Lakini pia Mungu kaonya juu ya
kuabudu moto na kwakua mwenge ni
moto ambao maana yake halisi kama
jembe kaz yake linalima, bendera ni
utambulisho haijaelezwa zaidi ya
imagination. Yaani ka Kinjekitile
Ngwale alivyokuja na maji kishirikina
na kuwaaminisha asikari wake kuwa
ukijipaka risasi haipenyi. Basi ni dhairi
bila shaka kuwa mwenge ni wa
shetani na ni ramli. Pia inathibitishwa
na ukweli kuwa ulikuwa unatumika na
Machief wa Kizanaki kama njia ya
kunyamazisha watawaliwa kwa imani
hivi hivi.
Ni utopian yaani imagination ka ukienda kwa mganga anakuambia tafuta kiungo cha albino uwetajiri. Sawa na kimbizeni mwenge mpate nuru.
Jembe kazi yake kulima Bendera ni
utambulisho sasa mwenge ni ni nini
kwa vitendo siyo imani. Kunatofauti
gani anaye ona matumaini kupitia
mwenge na anayeona matumaini
kupitia kiungo cha albino?
Tukubaliane kuwa hata kama
umekuwepo miaka hamsini tusikitike
tu kuwa ni uchawi na ni ramli ka ramli
zingine tu za kawaida.