Lema mwendo ameumaliza tutakukumbuka

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,706
Reaction score
18,171
Sasa hivi ukifanya mistake ndogo tu wafuasi wa Chadema wanakushusha moja kwa moja tunasema kama ulikua ligi kuu unashuswa daraja moja kwa moja ndo kinaenda kumtokea Nabii koko anashindwa kusoma nyakati na wakati. Lissu kaja kukomesha biashara ya siasa sijuhi kwa nini wanakua wazito kutambua jambo kama hili Niliwahi kuleta Uzi hapa Lema anahitaji chadema kuliko chadema inavyomuhitaji Lema
 
vip fisadi heche na muhaini? 🐒
 
Mi naunga mkono. Afukuzwe kila mtu Chadema ili chama kibaki peke yake kikiwa kisafi!
 
Kwani imekuwaje tena kuhusu lema wakuu? Naona tu kila sehemu Lema Lema, Kwani amefanyaje tena. Au ni Umbea kutoka Marekani kwa dada au kuna taarifa gani rasmi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…