Lema mwanasiasa Bora wa Mwaka 2011

Lema mwanasiasa Bora wa Mwaka 2011

Mkuu Feedback.

Ninachojua idadi ya madiwani wa CDM imepungua kutokana na CDM kuwatimua madiwani wake.Idadi ya madiwani wa CCM ni kubwa kabla ya madiwani wa CDM hawajatimuliwa na chama kwa shinikizo la Lema.

Siwakumbuki kwa majina ila nachojua ni kuwa idadi ya madiwani wa CCM inazidi kupungua.
 
Feedback,

Tunaijua vizuri sana Arusha na nimepita mwezi huu mwanzoni nikitokea mwanza. lakini tuweke wazi . Je manispaa ya Arusha mjini ina barabara ya Lami? Tutajie basi ni bara gani hiyo la Lami inayomilikiwa na manispaa ya Arusa mjini? Kumbuka kuna barabara zinazomilikiwa na TANROAD.

sasa tubainishie na unitakie barabara zinazomilikiwa na manispaa ya arusha mjini yenye lami?

nasubiri jibu hapa.
Kama ni hivyo itabidi makao makuu ya EAC yahamishwe.
 
Siasa na uanasiasa ni kazi ya kumobilize watu kujiletea maendeleo yao wenyewe, sasa wewe ukianza kujenga barabara au hospitali kimya kimya kwa kutumia hela zako hiyo si siasa ni biashara unawekeza ili baadae uvune na ndicho kinachowashinda wanasiasa wengi tanzania kama kina RA.

Mkuu Luteni, Tatizo ni huo muda wa kumobilize watu utatoka wapi kama hatumalizi huu mgogoro? miaka minne iliyobaki inakimbia kama, haitusubiri. na kama ukifikiri kwa umakini, hiyo ni janja ya CCM ili wapate nyundo ya kuwatwangia 2015. Malizeni huu mgogoro ili mpate muda wa kumobilize wananchi wenu kujiletea maendeleo.
 
hapo kwenye Red Lema ameyafanya hayo!..? Je kuwaambia watu waandamane na kijipeleka jela ... kuingilia siasa za NCCR ... ndiyo defn. yako ya mobilization ..?!

bado me bado am sticking on my point mwakilishi mzuri ni yule ambaye maendeleo jimboni mwake angalau yanaoneka .. hata kama hatumuoni kwenye TV & Magazeti, Maandamo & vurugu na mapolisi kila siku . lakini anaonekana jimboni kwake..

Tumbiri.

Naomba ujue siku zote wananchi hawataki malumbano bali wanataka maendeleo. Na Mbunge ndio mwenye dhima kubwa sana katika kuchochea maendeleo ya jimbo lake akishirikiana na wananchi wake. Kwani ni yeye anawawakilisha wapiga kura wake ndani ya chombo kikuu cha kutunga sheria na kupatisha bajeti ya nchi. Sasa tuweke wazi je amewasaidia nini wananchi wake?

Katika kuhakikisha kwamba anachochea maendelea katika Jimbo la Arusha, LEMA anaendelea kuwahamasisha na kuwatia ujasiri wananchi wa Arusha kuondokana na Utawala katili ambao umefika hata hatua ya kupiga na kuua kwa risasi wananchi kwa ajili ya kulinda Meya feki ambae anaedeleza Ufisadi katika Manispaa ya Arusha!

Feedback.

Arusha hakuna barabara ya lami sana sana tunatarajia mradi wa kuboresha miundombinu ya Jiji itaanza mwakani pita pale Arusha Sec uwanja wa mpira kuna kampuni ya kichina imeshaanza kuleta vifaa.Ikumbukwe mradi huu unafadhiliwa na WB chini ya mpango wa maboresho ya Jiji la Arusha bila kusahau madiwani wa CDM hawashiriki vikao vya baraza la madiwani hivyo sifa zinaweza kuchukuliwa na kile chama cha magamba ahaaa aa.

Si kweli, nafikiri wewe hujafika Arusha ukitoka Oman usiishie Kibandamaiti tu njoo A-town ujionee maendeleo.
 
Feedback,

Tunaijua vizuri sana Arusha na nimepita mwezi huu mwanzoni nikitokea mwanza. lakini tuweke wazi . Je manispaa ya Arusha mjini ina barabara ya Lami? Tutajie basi ni bara gani hiyo la Lami inayomilikiwa na manispaa ya Arusa mjini? Kumbuka kuna barabara zinazomilikiwa na TANROAD.

sasa tubainishie na unitakie barabara zinazomilikiwa na manispaa ya arusha mjini yenye lami?

nasubiri jibu hapa.

Barubaru,
Naomba nimsaidie Feedback kujibu. Assume basi kwamba katika Manispaa ya Arusha hakuna barabara hata moja ya Lami inayomilikiwa na Manispaa ya Arusha. Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba Lema hafai kuwa Mbunge?
 
Tumbiri,

Kumbuka hapa tunaiongelea Arusha mjini. Naomba nitajie tu njia/ barabara gani ambayo inamilikiwa na manispaa ya arusha mjini ni ya L:ami. Nitajie kwa majina na sio kufanya assumption.

Kwani mimi ninavyojua na ndivyo ilivyo manispaa hiyo haina hata barabara moja ya lami inayomilikiwa nayo zote unazoziona zinamilikiwa na Tanroad.

nasubiri jibu lako hapo na hiyo list

Mkuu Luteni, Tatizo ni huo muda wa kumobilize watu utatoka wapi kama hatumalizi huu mgogoro? miaka minne iliyobaki inakimbia kama, haitusubiri. na kama ukifikiri kwa umakini, hiyo ni janja ya CCM ili wapate nyundo ya kuwatwangia 2015. Malizeni huu mgogoro ili mpate muda wa kumobilize wananchi wenu kujiletea maendeleo.

hapo kwenye Red Lema ameyafanya hayo!..? Je kuwaambia watu waandamane na kijipeleka jela ... kuingilia siasa za NCCR ... ndiyo defn. yako ya mobilization ..?!

bado me bado am sticking on my point mwakilishi mzuri ni yule ambaye maendeleo jimboni mwake angalau yanaoneka .. hata kama hatumuoni kwenye TV & Magazeti, Maandamo & vurugu na mapolisi kila siku . lakini anaonekana jimboni kwake..

Kwa taarifa yenu Lema na siasa za Arusha zinaitangaza Chadema zaidi ya mnavyodhania mnaweza kufikiri ni janja ya CCM kuchelewesha maendeleo lakini itakula kwao, wananchi wa leo si wale wa enzi ya RTD watangaziwe fulani ni mhujumu wa taifa bila waokujua leo wanaona nani msumbufu. Kipimo kizuri pamoja na yote yanayoendelea waambieni CCM waitishe uchaguzi wa madiwani Arusha muone kama kura zao hazijapungua ukilinganisha na za mwaka jana.
 
Feedback.

Arusha hakuna barabara ya lami sana sana tunatarajia mradi wa kuboresha miundombinu ya Jiji itaanza mwakani pita pale Arusha Sec uwanja wa mpira kuna kampuni ya kichina imeshaanza kuleta vifaa.Ikumbukwe mradi huu unafadhiliwa na WB chini ya mpango wa maboresho ya Jiji la Arusha bila kusahau madiwani wa CDM hawashiriki vikao vya baraza la madiwani hivyo sifa zinaweza kuchukuliwa na kile chama cha magamba ahaaa aa.

Ahsante Ngongo,

Ni vizuri uwajulishe kuwa manispaa hiyo haina hata barabara moja ya Lami. Zote wanazoziona zinamilikiwa na Tanroad. Na wajuze wajue kuwa kuna barabara za manispaa/ halmashauri na barabara za Tanroad.

Kwa taarifa yenu Lema na siasa za Arusha zinaitangaza Chadema zaidi ya mnavyodhania mnaweza kufikiri ni janja ya CCM kuchelewesha maendeleo lakini itakula kwao, wananchi wa leo si wale wa enzi ya RTD watangaziwe fulani ni mhujumu wa taifa bila waokujua leo wanaona nani msumbufu. Kipimo kizuri pamoja na yote yanayoendelea waambieni CCM waitishe uchaguzi wa madiwani Arusha muone kama kura zao hazijapungua ukilinganisha na za mwaka jana.

wananchi siku zote hawataki malumbano bali wanataka maendeleo. Sio ngoja ngoja kwani siku zote ngoja ngoja inaumiza matumbo.

Je ameleta maendeleo gani na sio malumbano gani?
 
Kwa taarifa yenu Lema na siasa za Arusha zinaitangaza Chadema zaidi ya mnavyodhania mnaweza kufikiri ni janja ya CCM kuchelewesha maendeleo lakini itakula kwao, wananchi wa leo si wale wa enzi ya RTD watangaziwe fulani ni mhujumu wa taifa bila waokujua leo wanaona nani msumbufu. Kipimo kizuri pamoja na yote yanayoendelea waambieni CCM waitishe uchaguzi wa madiwani Arusha muone kama kura zao hazijapungua ukilinganisha na za mwaka jana.

mhh asubuhi yote hii naona mate ushapanda jazba ... lol wacha nielekee zangu hospitali nina wagonjwa wanisubiri ..! ila usimind ni mtazamo tu!
h

happy holidays
Adios

Tumbiri,

Kumbuka hapa tunaiongelea Arusha mjini. Naomba nitajie tu njia/ barabara gani ambayo inamilikiwa na manispaa ya arusha mjini ni ya L:ami. Nitajie kwa majina na sio kufanya assumption.

Kwani mimi ninavyojua na ndivyo ilivyo manispaa hiyo haina hata barabara moja ya lami inayomilikiwa nayo zote unazoziona zinamilikiwa na Tanroad.

nasubiri jibu lako hapo na hiyo list

Ndiyo maana nikasema hivi kwa ajili ya kufupisha mjadala, tufanye Manispaa ya Arusha haina Lami hata Moja kama unavyodai. Sasa na wewe utueleze hukumu yako dhidi ya Lema kutokana na Manispaa ya Arusha kutokuwa na Lami.
 
Watanzania tumekubali wenyewe kuchakachuliwa kufikia sehemu ambayo si sisi wenyewe, wala wabunge wetu wanaojua majukumu na wajibu wao. Ndiyo maana leo unaweza kuambiwa na mbunge kuwa ni haki yake kulipwa posho kedekede kwa kuwa anatakiwa kutoa michango killa kona anayopita. Hivi yule aliyeanzisha ile mada ya hizi kura kwa wabunge vijana alilenga kupata nini hasa?
 
Mkuu Feedback.

Ninachojua idadi ya madiwani wa CDM imepungua kutokana na CDM kuwatimua madiwani wake.Idadi ya madiwani wa CCM ni kubwa kabla ya madiwani wa CDM hawajatimuliwa na chama kwa shinikizo la Lema.

Mkuu Ngongo..
Habari za sikukuu? Vipi mradi wa Machinga Compelex na Barabara za juu alizosema Lema wakati wa Kampeni zimefikia wapi?
 
Ni ukweli usiopingika kuwa Godbless Lema amekuwa ni mwanasiasa mwenye kuibua mijadala mingi hapa nchini, ndani na nje ya bunge. Kwa uchache utaungana nami kukumbuka hotuba ya waziri kivuli wa mambo ya ndani aliyoitoa bungeni ilivyovuta hisia za watanzania wengi. Bila kusahau tamko lake lililopinga mwafaka uliofikiwa kati ya madiwani wa CCM na Chadema Arusha na kupelekea madiwani hao kufukuzwa Chadema.

Ni hivi majuzi tu ametoa waraka wake kuhusu kufukuzwa Kafulila unavyojadiliwa hadi leo hii. Ukiachilia mbali misukosuko yake na harakati za kuwasaidia wananchi wa jimbo lake la Arusha mjini hadi kupelekea kuwekwa rumande kwa wiki mbili, vile vile tumejulishwa Lema amepata tuzo yamwanasiasa bora na jasiri kijana kutoka blog moja nchini na kuwashinda wanasiasa wengine machachari waliotamba mwaka jana kina Zitto, January na Mnyika anayeibukia kwa sasa. Kwa vigezo hivi sina budi kabisa kusema GL amekuwa mwanasiasa bora wa Mwaka huu tunaomaliza wa 2011, nafikiri utakubaliana nami.

Kweli kabisa!Huyu bwana anastahili kabisakabisa!
Namshauri aongezee na kashule kidogo,atafika mbali zaidi!
VIVA KAMANDA LEMA
 
Mkuu Ngongo..
Habari za sikukuu? Vipi mradi wa Machinga Compelex na Barabara za juu alizosema Lema wakati wa Kampeni zimefikia wapi?

Ona huyu nae kadandia hoja! Watu tumeshatoka huko, anataka kuturudisha tena! Anza kusoma thread kuanzia page ya kwanza. Sio unadandia dandia tu hoja kama Wabunge wa CCM!

Back
Top Bottom