Toka BEN alivyochujwa na Kamati Kuu ya CDM kwenye kugombea Uenyekiti wa BAVICHA amekuwa na kinyongo sana. Na style yake ya kukomenti humu jamvini ni kama ile ile ya Zitto ya kupingana wazi wazi maazimio yaliyofikiwa na vikao halali vya chama tena na yeye akiwa Mjumbe!
Vipi na ule utaratibu wa kura za kawaida ambapo tulishuhudia uchakachuaji wa ajabu(Kwa mfano agalia matokeo ya rais ya jimbo la nyang'wale na Geita,cha ajabu ni kuwa yanafanana kila kitu,kanakwamba yalipangwa na wapiga kura wa majimbo hayo,mkuu hili ulioni?kura za Lema ndiyo zimekuuma sana?acha upotoshaji mkuu!!Kuhusu kura za blog ya Mjengwa, Invisible alieleza clear namna anavyoweza kumanipulate kura. Toka hapo hamna mtu mwenye imani tena na polls zinazofanyika online kwenye blog zetu za kibongo. uchakachuzi ni mwingi ni wa hali ya juu
Mkuu unaweza kuthibitisha ni wapi nilikomuita zuzu?
Hata kama angekuwa nani majibu yangu na mtazamo wangu uko hivi hivi......!
Kura zaidi 5000...je unajua mtu au watu wanaweza kujipigia kura? my point is,wabunge wachape kazi.Tuache kushabikia vitu vya ovyo.Kama kuna mbunge maarufu/bora..basi awe bora au maarufu kuliko maradhi,ujinga na umaskini wa watanzania.Ajenge hoja za kutukwamua kutoka hapo na ionekane.Naongelea kwa wabunge wote wa bunge la jamhuri ya Muungano.....Akina mnyika,January,Zitto na wengineo waendelee kujenga hoja na kuwapigania wapiga kura wao na watanzania kwa ujumla
Maamuzi halali ya vikao?....sasa kwa mantiki hii ujumbe wako huu unanihusu nini?kuna maazimio au makubaliano gani?do you mean sina haki ya kutoa maoni yangu? Unapaswa kufahamu kwamba mimi sishabikii mtu,na huwa siungi mtu mkono..huwa nasapoti kile anachofanya mtu na anachokisimamia
NB: Wakuu wote hapo juu mmenichekesha sana kwa jinsi mlivyonichukulia leo.Nimecheka sana kwa kweli
Sitaki mtu ananiheshimu kwa vile nasema kile anachotaka kusikia.....pia sitaki kuteuliwa kugombea ubunge kwa kumfurahisha mtu au kuongea yale ambayo baadhi ya watu wanataka kusikia.Ubunge wa aina hiyo ni dhahiri sitakuwa nawatumikia wapiga kura bali nitakuwa nawatumikia watu wachache.Hivi ndivyo vitu nastahili kupambana navyo katika maisha yangu ya kisiasa na ikiwezekana hata kuanzisha revolutionary movement.Kwa hakika hata mimi nimempuuza kabisa.Ni mtu asiyefaa kupitishwa hata kugombea ubunge kwa sababu ni mchochezi mkubwa wa migogoro na mtu anayejiona bora kuliko wengine
Unapaswa kufahamu kwamba mimi sishabiki mtu, na huwa siungi mtu mkono..huwa nasapoti kile anachofanya mtu na anachokisimamia
Sasa wewe unataka kuchanganya Mambo. The way unavyo deliver hii mesage ni as if GODBLESS JONATHAN LEMA ameshakuwa kiongozi wa serikali mfano Rais, Waziri, Naibu Waziri, Katibu Mkuu wa Wizara n.k na bado Tanzania imeendelea kuwa Nchi Maskini ya kutupa licha ya raslimali ulizozitaja hapo juu. Tunaomba msipindishe hoja!
Tujikumbushe matokeo ya ubungeMkuu Ben.
Kama Lema ni mwanasiasa bora wa mwaka 2011 hakuna haja ya kushangaa kwanini Tanzania ni masikini wa kutupwa pamoja na kuwa na utajiri mkubwa wa Madini,Ardhi kubwa,Mito mikubwa,mabwawa na maziwa kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji,malihasili mbuga za wanyama na nk.
Tunampataje kiongozi bora ?.
[1] Maandamano yasiyo na maana ?.
[2] Kususa dhamana ?.
[3] Kuombea maiti ifufuke ?.
[4] Kupigiwa kura na mashabiki kwenye blog ambayo mtu mmoja anaweza kupiga kura mara 100,000,000 ?.
Mitanzania mijitu ya ajabu kweli ndiyo maana mlidanganywa na maaskofu Kikwete chaguo la Mungu mkaingia kichwa kichwa mkamchagua kwa 80% ?.
Sitaki mtu ananiheshimu kwa vile nasema kile anachotaka kusikia.....pia sitaki kuteuliwa kugombea ubunge kwa kumfurahisha mtu au kuongea yale ambayo baadhi ya watu wanataka kusikia.Ubunge wa aina hiyo ni dhahiri sitakuwa nawatumikia wapiga kura bali nitakuwa nawatumikia watu wachache.Hivi ndivyo vitu nastahili kupambana navyo katika maisha yangu ya kisiasa na ikiwezekana hata kuanzisha revolutionary movement.
Ni lazima ufie kile unachokiamini tu
dhamiri yako inakusuta kwa sababu unajua unadanganya.Wewe una kikundi unakipigania ndani ya chama chako na kila mtu anajua.Umekuwa ukimpinga yeyote asiyeunga mkono hicho kikundi chenu.Lakini nakuapia hutafanikiwa dhamira yako kwa sababu hicho kikundi unachokipigania kinaungwa mkono na wanachama wachache sana.Kukudhihirishia hilo mwakani uchaguzi mkuu wa chama chako unaanza.Shawishi kikundi chako mgombee mtaona matokeo yake ndipo utagundua watanzania wamechoshwa na siasa za kinafiki na majungu
Tujikumbushe matokeo ya ubunge
Lema kura 56,196
Dk. Burian kura 37.460.
Mkuu TUMBIRI,
Godbless Lema ni mbunge ana wajibu mkubwa wa kutuondoa kwenye umasikini kama wewe Tumbiri ulivyo na nafasi ya Baba / Mama haijalishi kama umeshika madaraka ya kisiasa au lah.Lema ni mbunge kachaguliwa na wananchi wengi ambao walitegemea atatekeleza mambo yote aliyoahidi wakati akiomba kura.Zipo ahadi nyingi labda tuzichukue zile alizotoa kupitia mchakato majimboni kwakuwa kila mtanzania alizisikia.
[1] Alisema atajenga Hospital tatu !.Nina uhakika ukimuuliza akuonyeshe walau kiwanja kimoja kwaajili ya ujenzi wa hiyo Hospital anaweza kuanzisha maandamano ya kupinga kuulizwa alichoahidi.
[2] Alisema atajenga Machinga Complex nakumbuka mmoja wa washindani wake alitoa tahadhari kwa wananchi kuchunguza baadhi ya ahadi za wagombea kwakuwa ahadi nyingine ni vigumu kutekelezwa na mbunge Lema akasema anajua fedha zitatoka wapi.Leo hii ukimuuliza mipango ya machinga complex imefikia wapi atakuuliza mbona Kikwete katoa ahadi kibao utekelezaji zero.
Don't be short sighted Ngongo, Lema ndio anatimiza mwaka mmoja toka achaguliwe unataka kweli ajenge hospitali? kwanini usihoji waliokaa miaka 50, hata kama humpendi mtu si kiasi hiki give him time kaanza yaliyondani ya uwezo wa mwaka mmoja, analipia school fees zaidi ya wanafunzi 400 is that too little to appreciate?Mkuu TUMBIRI,
Godbless Lema ni mbunge ana wajibu mkubwa wa kutuondoa kwenye umasikini kama wewe Tumbiri ulivyo na nafasi ya Baba / Mama haijalishi kama umeshika madaraka ya kisiasa au lah.Lema ni mbunge kachaguliwa na wananchi wengi ambao walitegemea atatekeleza mambo yote aliyoahidi wakati akiomba kura.Zipo ahadi nyingi labda tuzichukue zile alizotoa kupitia mchakato majimboni kwakuwa kila mtanzania alizisikia.
[1] Alisema atajenga Hospital tatu !.Nina uhakika ukimuuliza akuonyeshe walau kiwanja kimoja kwaajili ya ujenzi wa hiyo Hospital anaweza kuanzisha maandamano ya kupinga kuulizwa alichoahidi.
[2] Alisema atajenga Machinga Complex nakumbuka mmoja wa washindani wake alitoa tahadhari kwa wananchi kuchunguza baadhi ya ahadi za wagombea kwakuwa ahadi nyingine ni vigumu kutekelezwa na mbunge Lema akasema anajua fedha zitatoka wapi.Leo hii ukimuuliza mipango ya machinga complex imefikia wapi atakuuliza mbona Kikwete katoa ahadi kibao utekelezaji zero.
Don't be short sighted Ngongo, Lema ndio anatimiza mwaka mmoja toka achaguliwe unataka kweli ajenge hospitali? kwanini usihoji waliokaa miaka 50, hata kama humpendi mtu si kiasi hiki give him time kaanza yaliyondani ya uwezo wa mwaka mmoja, analipia school fees zaidi ya wanafunzi 400 is that too little to appreciate?
fmpiganaji.
Tunamjadili mwanasiasa bora wa 2011 wewe unahangaika na Ben umetumwana nani? Ben ana uhuru wa kumuunga mkono mwanasiasa yoyote anayedhani anakidhi vigezo na matarajio yake ndiyo maana wewe ni fmpiganaji na yeye ni Ben watu wawili tofauti.
Naona bado unachanganya mambo Mkuu. Hayo unayoyataja yalikuwa kwenye Ilani ya Uchaguzi katika Jimbo la Arusha kwa upande wa CDM. Lakini inapaswa uelewe kwamba CCM wamecheza rafu kwenye uchaguzi wa Meya na kwa mantiki hiyo Ilani inayotekelezwa si ya LEMA (CDM) tena bali ni ile aliyokuwa anainadi Batilda Buriani kwa niaba ya Chama chake kwa Jimboa la Arusha! Nasisitiza, tusipotoshe hoja!
fmpiganaji.
Tunamjadili mwanasiasa bora wa 2011 wewe unahangaika na Ben umetumwana nani ?.Ben ana uhuru wa kumuunga mkono mwanasiasa yoyote anayedhani anakidhi vigezo na matarajio yake ndiyo maana wewe ni fmpiganaji na yeye ni Ben watu wawili tofauti.
Aliingia miti unaimanisha nini? Hivi Mbowe anaweza kuwakimbia polisi je una weza kuthibitisha alivyo kimbia na hao polisi walikuja na vifaru mpaka mbowe awakimbie...Kama hujui kilicho tokea tuulize sisi tulio kuwepo kwenye tukio siyo kusoma kwenye gazeti na UHURU...Kawatoa uoga? Mbona alivyojipeleka mahabusu kila mtu aliingia mitini? Unakumbuka skendo ya Mbowe kuwakimbia polisi?
Kama hii ndio unaiona ni achievement, basi upo completely wrong.
Ningemuona kafanya cha maana kama angewapa wananchi uelewa wa haki zao dhidi ya polisi.
Ili iweje......Tafadhali nitajie idadi ya madiwani wa CCM na madiwani wa CDM !.
Soma tena swali na jibu lako kama vipi kalala....Feedback,
Mkuu wangu ubovu wa CCM haumsafishi Lema hata kidogo.
Siwakumbuki kwa majina ila nachojua ni kuwa idadi ya madiwani wa CCM inazidi kupungua.Tafadhali nitajie idadi ya madiwani wa CCM na madiwani wa CDM !.