technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,672
- 58,624
Tumia umoja na si wingiTuko pamojah Lema tunakuamini sisi wana wa A Town utatutumikia hata kama uko gerezani na 2020 tutakuchagua hata kama uko gerezani
swissme
tupo wengi.mwizi wewe wa haki za binadamu.Tumia umoja na si wingi
hahaha . ..u think so? hivi unadhani mtamfunga mdomo lema kwa haya mnayomfanyiaNgoja dunia imfunze adabu
Dunia?Ngoja dunia imfunze adabu
Umoja wakati tupo wengi? Huko shuleni mlienda kujifunza ujinga?Tumia umoja na si wingi
Niko naeTumia umoja na si wingi
Hiyo dunia inayowakilishwa na hawa wapuuzi na madikteta uchwara ni dunia gani? Labda ya mashetani!Ngoja dunia imfunze adabu