Lema maji ya shingo Arusha

kwa arusha mjini lema atashinda tu. mbaya zaidi kitendo cha lowasa kuwa against na ccm kinaongeza ushindi wa lema kwa kishindo. wanasiasa wanaosikilizwa arusha ni lema, lowasa na dr slaa. kwa arusha ccm wasahau...
 
Tumebadilika Baba! Lema katuletea wajane na mayatima.sasa Tunataka tupige pesa. Monaban fungua milango biashara zimezorota na hatutaki maandamano.

jidanganye. kwa arusha kitendo cha lowasa kuwa sambamba na lema ccm wasahau....
 

utalii utaliii upuuzi mtupu. lini utalii arusha uliathirika? nawapongeza wana arusha wote kwa kuwapa upinzani madiwani wote isipokuwa mmoja wa ccm. undeni halmashsuri ya jiji wenyewe na ondoeni kero za wananchi..
 
Ukiona chama chochote kinapata kura katika eneo lako la kisiasa, kiwe kinapanda au kushuka, iwe kwa asilimia 10 su 15% achilia mbali 30% ujue kipo kinakubalika hapo na kina nguvu na kete zake hapo.

Tegemea siku yoyote hizo asilimia kupanda hasa msimu wa ushabiki, kufuata mkumbo na dhana ya ukanda ukipita
 
Potelea mbali Arusha wanajitambua. ccm Arusha walishai delete siku nyingi. Hatuitaki ccm Arusha hata mkazikiri uchi mpige na push up.

Matatizo ya Lema na Chadema Arusha kwa sasa.

1. Kiki ya Lowassa imefifia.
2. Watu wamekata tamaa baada ya chama kumute na huku wamehakikishiwa walishinda afu wakaibiwa...
3. Kuna wenye mashaka makubwa na chama baada ya Dr. Silaa kukatwa, Lowassa kushindwa na kisha chama kutochukua hatua zozote za kikakamavu. Hata kauli zinzotelewa ni dhaifu dhaifu tu.
4. Kiki ya Ukawa nayo inafifia kimya kimya baada ya viti maalum watu wameanza kurudi wenye mistari ya vyama vyao.
5. Watu wamepoteza mwamko wa kupiga kura baada ya hayi mambo hapo juu.

Lema asipoajiangalia naye ataonyeshwa nyeti za kuku kama Lembeli.
 
Sasa ameanza rasmi kampeni za kutuma spam messages akiomba kupigiwa kura.

Inasikitisha hii mitandao yetu kutumika kwenye kampeni na kugawa namba zetu kwa wanasiasa.

Kwa hiyo unamaanisha mbunye ya mamako inatema maji mpaka yamemfikia shingoni Mh. Lema? Basi kazi ipo!!
 
Yaani una diwani mmoja kati ya madiwani 25, mgombea uliyesimamisha hajui hata kuongea halafu unakaa unasema Lema maji ya shingo, hiyo ni ndoto ya mchana, Lema atashinda kwa kura nyingi sana
 
Lema ndio Tumaini pekee la Wana Arusha baada ya Lowassa kuibiwa kura.
 
Ivi Lema ndo msambazaji wa umeme Arusha? Machungu tunayopata na huu mgao wenu ata kura kumi hamstahili Arusha
 
Tuungane kwa pamoja kuombea Lema ashindwe ubunge Arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…