Tetesi: Lema kutimkia CCM

tuliza ball gentleman,
hakuna malipo yanafanyika tena, baada ya mahesabu ya mwaka wa fedha uliopita kufungwa rasmi, mpka hapo tena itakaposomwa, itakapojadiliwa, itakapopitishwa na kuanza kutekelezwa kwa bajeti mpya July Mosi πŸ’
 
sasa ndio umeandika nini kamanda🀣
 
Propaganda za kijinga sana tena duni mno! Tangu uingie JF wewe ni tetesi tu, hivi hujawahi kuwa na habari zingine?

Hakika ccm ina vijana Wajinga sana!

Sasa hapa unatafuta Posho au unataka "LIKE" za jf?

View attachment 3018892
huoni hiyo body language na facial expressions ni ya safari kabisa kamanda, we check kigaila anavyotaharuki na kuwaza sasa itakuaje kamanda lem anaondoka kirahisi hivi, nimfate au nimskilizie kidogo?πŸ’
 
Mwenyekiti mbowe angeachia nafasi ya u
 
Naona umeona namna ya nyuzi zako kupata wachangiaji wengi ni kuwataja makada wa cdm na cdm. Kwa taarifa yako Lisu akiondoka cdm ndio itatuumiza sio kamanda yoyote. Hata akiondoka Mbowe kwetu ni poa tu lakini sio Lisu.
 
Kwani CCM bila yeye haisongi mbelee? Kama ni kweli atakaribishwa vyemaa
CCM inasonga mbele vizuri awepo asiwepo, na hata hivyo si muhimu wala Lazima akajiunga CCM, angeweza kwenda vyama vingine, ila kwa nadhani mapenzi kwa yake ameomba kujiunga CCM,

unatamani akataliwe?
ili iweje sasa kwa mfano

mi nadhani apokelewe tu πŸ’
 
Atapewa zile pikipiki za kijani kwa ajili ya Shughuli za chama
Yes,
si zile za kimkakati kwa ajili ya maandalizi ya ushindi wa kishindo uchaguzi wa serikali za mitaa ee? atapewa Lazima yaani πŸ’
 
Mbona huko anakotimukia (if its true) ndo hayo mambo yanataradadi!!
sifahamu,
pengine ungeandikia uzi tuweze kuelewa na kufahamu kwa kina jambo hilo huko unakodai lipo πŸ’
 
Amka utajikojolea
 
CCM hawapokelewi kama kwenye maombi na maombezi kule kwenu.....

ni process,
Lazima zifuatwe vizur kuepuka mkanganyiko baadae juu ya uanachama wake CCM πŸ’
 
Rubbish.

Tuongelee mambo yanayogusa nchi, kuna bajeti ya serikali, umeme, ukosefu wa ajira, ufisadi wa kutisha, n.k
nimefurahi pia unafuatilia kwa ukaribu bajeti makini na muhimu sana kwa mustakabali mwema wa Taifa, big up sana kwa hilo πŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
Naona umeona namna ya nyuzi zako kupata wachangiaji wengi ni kuwataja makada wa cdm na cdm. Kwa taarifa yako Lisu akiondoka cdm ndio itatuumiza sio kamanda yoyote. Hata akiondoka Mbowe kwetu ni poa tu lakini sio Lisu.
sina haja ya wew au mwingine kuchangia hoja au mada zangu...

ile kitu ya muhimu na ya maana zaidi kwangu ni kuhakikisha nashirikisha umma yale mambo yote muhimu ambayo ninayaamini na ninadhani ni muhimu yakafahamika wazi na kusaidia kuongeza uelewa na ufahamu wa jamii kuhusu hayo πŸ’

hiyo habari usemayo wew ikusaidie wew kama ni muhimu. by the way mimi ni kiongozi makini sana wa wanainchi, asie babaika wala kutetereshwa na chochote πŸ’
 
Kama huamini, anzisha mada inayohusu ccm na makada wake, uone ni I'd ngapi zitachangia Uzi huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…