Gereza huwa halijai wewe!Walitoa tahadhari kwamba serikali ijenge magereza mengi
Unaumwa ugonjwa gani? Si mlisema 2015 harudi bungeni kwa sababu amegeuza Arusha mji wa vurugu? Mkaambulia kiti kimoja cha diwani mji mzima! Mnamjua Lema mnamsikia?Huyu Mbunge wetu ni Bingwa wa kununua kesi. Arusha tunajuta kumchagua kwakweli ila sio mbaya 2020 sio mbali sana. Wana Arusha tutafanya kama walivyofanya wana Ilemela na Nyamagana.
Unaweza kutwambia nani ambaye hutukana na tusi lipi alitumia dhidi ya nani?? Ukishindwa basi nawe in mfuasi wa mropokaji dikteta uchwaraMnamlisha Lema maneno. Katika harakati za Lema hata kama si mtu ninayempenda sana hajawahi kutukana zaidi ya kuhamasisha watu watafute haki.
Hata majuzi ameandika mwenyewe humu "siungi matusi kwa Rais".
Na ndo siasa. Haki huwezi tafuta kwa kukejeli harafu ukaona watu watakuunga tu. Una nini cha maana sana?
Tujifunze siasa.
Hiyo ni indhari tuGereza huwa halijai wewe!
Acha kumlisha maneno Lema ni kijana safi hawezi kumtukana Rais! Hivi unaingia bank na bunduki kufanya nini?Nimesikia clips yenye sauti inayofanana na Godbless Lema.Akisisitiza dikteta uchwara na kusema kama rais alisisitiza polisi wanyanganye bunduki harakaharaka vipi raia mwema akiingia benki na slaha yake polisi anayelinda akaiona?Si ataichukua harakaharaka kwa kumua?
Ameendelea kusisitiza hii nchi si ya mtu mmoja ni ya watanzania,Amesema kikombe kikijaa maji yatamwagika.Maana Tanzania hawana jeshi imara kama ilivyokuwa Libya au Misri lakini viongozi wao walidondoshwa.
Nimeshindwa kuiweka clips yenyewe ila kwa speed inayo sambaa itakuwa hapa JF muda si mrefu.Namwona lema naye akienda kuhojiwa polisi kesho.Kazi ipo.
Mnamlisha Lema maneno. Katika harakati za Lema hata kama si mtu ninayempenda sana hajawahi kutukana zaidi ya kuhamasisha watu watafute haki.
Hata majuzi ameandika mwenyewe humu "siungi matusi kwa Rais".
Na ndo siasa. Haki huwezi tafuta kwa kukejeli harafu ukaona watu watakuunga tu. Una nini cha maana sana?
Tujifunze siasa.
Kelele za chura hizoHuyu Mbunge wetu ni Bingwa wa kununua kesi. Arusha tunajuta kumchagua kwakweli ila sio mbaya 2020 sio mbali sana. Wana Arusha tutafanya kama walivyofanya wana Ilemela na Nyamagana.