mind your own businessHii ni ''wiki ijayo'' ambayo Lema alitujuza kuwa ataondoka Dodoma,tafadhali aage kuwa keshaondoka🙂
Hii ni ''wiki ijayo'' ambayo Lema alitujuza kuwa ataondoka Dodoma,tafadhali aage kuwa keshaondoka🙂
alikua anabeep atuone tutasemaje
Nadhani ipo haja sasa, mtu anapotoa muda fulani kufanya jambo fulani,aweke wazi kama muda huo ni kwa sayari gani maana wakati mwingine inachanganya. Si mnakumbuka siku tatu alizo kuwa amepewa JK, watu mkadhani ni siku3, kwa mujibu wa saa za duniani! kumbe ilikuwa ni siku 3,kwa mujibu wa saa za Pluto!
mind your own business

You're right! Siku 90 za kuvua magamba nazo ndio kwanza mbichi maana hawa wanasiasa nadhani wanatumia siku za kimbingu kwamba siku moja ni miaka 1000; so 90 days you're talking of 90,000 years.