Vipi akirudi toka shule utakuwa unampa saburi?lema rudiiiii shule huenda utastarabika na kuacha kuropokaropoka
Shida ni nini? Lugha ya kiingereza au una lingine? Tunamuelewa Lema acha propaganda zako unajaza server kwa upupu wako! Usimpangie mtu maisha hangaika na maisha yako.Ndugu yangu Lema-
Huu ni ushauri wangu kwako ili kukujenga na kukufanya uwe bora zaidi (constructive criticism). Lema ndugu yangu, unatatizo kubwa sana la kuongea kiingereza- kama mimi. Huna utawala mzuri wa lugha hiyo. Hivyo basi, jifunze kiingereza na epuka kuweka maneno ya kiingereza kila wakati unapoongea kiswahili. Hii ni tabia mbaya sana ya sisi watanzania. Ndio maana tumejikuta hatajui lugha zote mbili. Usione aibu kukiri kutojua na kujifunza.
Ndugu yangu Lema- unatatizo kubwa sana la kuchambua mambo. Huwa unachanganya sana mambo. Nadhani mara nyingi unakuwa na jazba na kutaka kuongea kila kitu. Mwanasiasa mzuri ni yule aliyekuwa mtulivu. Adui wako wa kisiasa leo ni rafiki kipenzi kesho (mfano mzuri Lowassa).
Ndugu yangu Lema- kwa nafasi yako ya waziri kivuli haiendani na elimu yako na wala utawala wa lugha na kuchambua mambo. Nakushauri soma zaidi ndugu yangu. Julius Malema wa EFF wiki iliyopita kahitimu degree yake ya kwanza na anataka kusoma masters. Wewe pia unaweza na unauwezo huo.
Ndugu yangu Lema- mwanasiasa mzuri ni yule anayeyaona haya na kuchukua hatua.
Aende shule huyoShida ni nini? Lugha ya kiingereza au una lingine? Tunamuelewa Lema acha propaganda zako unajaza server kwa upupu wako! Usimpangie mtu maisha hangaika na maisha yako.
Ndugu yangu Lema-
Huu ni ushauri wangu kwako ili kukujenga na kukufanya uwe bora zaidi (constructive criticism). Lema ndugu yangu, unatatizo kubwa sana la kuongea kiingereza- kama mimi. Huna utawala mzuri wa lugha hiyo. Hivyo basi, jifunze kiingereza na epuka kuweka maneno ya kiingereza kila wakati unapoongea kiswahili. Hii ni tabia mbaya sana ya sisi watanzania. Ndio maana tumejikuta hatajui lugha zote mbili. Usione aibu kukiri kutojua na kujifunza.
Ndugu yangu Lema- unatatizo kubwa sana la kuchambua mambo. Huwa unachanganya sana mambo. Nadhani mara nyingi unakuwa na jazba na kutaka kuongea kila kitu. Mwanasiasa mzuri ni yule aliyekuwa mtulivu. Adui wako wa kisiasa leo ni rafiki kipenzi kesho (mfano mzuri Lowassa).
Ndugu yangu Lema- kwa nafasi yako ya waziri kivuli haiendani na elimu yako na wala utawala wa lugha na kuchambua mambo. Nakushauri soma zaidi ndugu yangu. Julius Malema wa EFF wiki iliyopita kahitimu degree yake ya kwanza na anataka kusoma masters. Wewe pia unaweza na unauwezo huo.
Ndugu yangu Lema- mwanasiasa mzuri ni yule anayeyaona haya na kuchukua hatua.
Kwa kweli hakuna jinsi. Godbless unahitaji shule au elimu ya Uongozi. Tena inatakiwa muwe kwenye group study moja na Joseph Msukuma mkisimamiwa na kuandikiwa notes na Milinga. Maana elimu ni muhimu sana kwa viongozi...chukueni mfano kwa Mh. Livingstone Kibajaj alivyotulia baada ya kupata elimu ya Uongozi.
Lema na JPM nan? Anajua kuzungumza vizuri kiingereza?
Huyu unayempa ushauri wa kusoma ili afikie malengo yeke amekuzidi kila kitu. Kakuzidi elimu, fedha na hata wadhifa. Mwenzako ni Mbunge wa jiji la arusha na ni waziri kivuli wakati wewe maskini tu wa Lumumba unakula mihogo kwa buku7 mnazolipwa kuandika upuuzi jukwaani.Ndugu yangu Lema-
Huu ni ushauri wangu kwako ili kukujenga na kukufanya uwe bora zaidi (constructive criticism). Lema ndugu yangu, unatatizo kubwa sana la kuongea kiingereza- kama mimi. Huna utawala mzuri wa lugha hiyo. Hivyo basi, jifunze kiingereza na epuka kuweka maneno ya kiingereza kila wakati unapoongea kiswahili. Hii ni tabia mbaya sana ya sisi watanzania. Ndio maana tumejikuta hatajui lugha zote mbili. Usione aibu kukiri kutojua na kujifunza.
Ndugu yangu Lema- unatatizo kubwa sana la kuchambua mambo. Huwa unachanganya sana mambo. Nadhani mara nyingi unakuwa na jazba na kutaka kuongea kila kitu. Mwanasiasa mzuri ni yule aliyekuwa mtulivu. Adui wako wa kisiasa leo ni rafiki kipenzi kesho (mfano mzuri Lowassa).
Ndugu yangu Lema- kwa nafasi yako ya waziri kivuli haiendani na elimu yako na wala utawala wa lugha na kuchambua mambo. Nakushauri soma zaidi ndugu yangu. Julius Malema wa EFF wiki iliyopita kahitimu degree yake ya kwanza na anataka kusoma masters. Wewe pia unaweza na unauwezo huo.
Ndugu yangu Lema- mwanasiasa mzuri ni yule anayeyaona haya na kuchukua hatua.
Sijafikia utovu wa Nidhamu wa kiwango hicho. Unless kama unamzungumzia yule bwana Magumike wa pale Bwigiri.Muongeze na Magu hapo.