jaba jumah
Senior Member
- Sep 24, 2015
- 150
- 50
Vijana wa Lumumba mmeishiwa ya kuandika mpate buku 7 lenu.Mbunge wa chadema godbless lema yuko hatian kupoteza jimbo lake kufuatia kutokuungwa mkono na wanachi wa maeneo mbalimbali
hali hyoo imekuja kufuatia kushindwa kuteleleza ahadi zake nyingi alizo wahahidi wananchi wa jimbo la arusha mjini
Wewe ambaye hujaishiwa ya kujibu ni mtoto wa wapi na unapata buku 7 wapi?Vijana wa Lumumba mmeishiwa ya kuandika mpate buku 7 lenu.
Wazazi wako watakua wanajilaumu sana kuku zaa.Mbunge wa chadema godbless lema yuko hatian kupoteza jimbo lake kufuatia kutokuungwa mkono na wanachi wa maeneo mbalimbali
hali hyoo imekuja kufuatia kushindwa kuteleleza ahadi zake nyingi alizo wahahidi wananchi wa jimbo la arusha mjini
Kalaghabaho!Wewe ambaye hujaishiwa ya kujibu ni mtoto wa wapi na unapata buku 7 wapi?
Mbunge wa chadema godbless lema yuko hatian kupoteza jimbo lake kufuatia kutokuungwa mkono na wanachi wa maeneo mbalimbali
hali hyoo imekuja kufuatia kushindwa kuteleleza ahadi zake nyingi alizo wahahidi wananchi wa jimbo la arusha mjini
Wewe ambaye hujaishiwa ya kujibu ni mtoto wa wapi na unapata buku 7 wapi?
Mkuu hasante sana.Kama ni suala la kutekeleza "ahadi" haki ya mama yangu,CCM haitopata hata 1% ya kura popote Tanzania.AMINI NAKWAMBIA.
Mbunge wa chadema godbless lema yuko hatian kupoteza jimbo lake kufuatia kutokuungwa mkono na wanachi wa maeneo mbalimbali
hali hyoo imekuja kufuatia kushindwa kuteleleza ahadi zake nyingi alizo wahahidi wananchi wa jimbo la arusha mjini
Mkuu hasante sana.