Lema chupuchupu kutiwa nguvuni...

Siasa za kijinga unafanya ujinga ili ukamatwe jina lako likue,
hii ni akili au matope.
 
Serikali ya kijangiri imebaki kupambana na wapinzani.

Huwezi kuitwa mpinzani wakati ulikimbia shule. Lema siyo mpinzani. Tatizo la Lema hakusoma ndio maana hajui hata anachoongea. Shule ni kitu mhimu sana ili kujielewa
 
Tunakoelekea, tanzania itakuwa nchi hatari kwa wapinzani kuliko hata kenya na uganda! Polis ---------- vibaya kudhoofisha wapinzani!
 
Huyu Lema inabidi mumfundishe jinsi ya kuongea mbele ya jamii..

Unafikiri kwa umri alionao sasa ataelewa? Just imagine alifeli form four wakati hajazeeka! Hizo akili za kuelewa sasa atazitoa wapi? He is a zero brain
 
Si yule lema aliyedai ofisi ya cdm arusha imechumwa name baadae ikabainika ni wao wenyewe!!uongo wa kitoto apeleke kwa mapunga wenzake huko
 
Siku hizi polisi Sana mi-iPhone wanafanyia kazi status za fb. Hahaha maendeleo in disguise
 

Sioni kama hoja ya maana ya kujadili au anatutaarifu kuwa yeye ni mtoto ni mtoto wa mjini aliyeshindikana na vyombo vya dola au aliwapa rushwa wakamwachia au alipigana nao akawazidi nguvu.
 
Hivi Lema mbona huwa hasikiki akichangia hoja mbalimbali za kimaendeleo Bungeni au hata
nje ya Bunge????

kuchangia hoja kunahitaji uelewa wa mambo na elimu ya jambo husika, sasa huyo jamaa hamna kitu kichwani ndio maana anakuja na mbinu za vurugu.
 

This is too much more than looking for popularity but looking for confusion. Then see what coming and time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…