Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Serikali inayonuka harufu ya damu inataka kumg'oa meno na huyo?
Cheap popularity
Kumbuka system iko vizuri sana ndani ya nchi hii..Wamguse waone moto wake
Huyu Lema inabidi mumfundishe jinsi ya kuongea mbele ya jamii..Ukweli unauma eeh? Huyo muikulu afute kauli yake aliyowaambia wanachama wa CCM juzi pale Dodoma.
Tanzania tunahitaji kiongozi na siyo mtawala.
Mkuu we mbona rambirambi ya mjane uliichongea manati?Kuku wako mwenyewe umchongee manati ya nini?
Hivi Lema mbona huwa hasikiki akichangia hoja mbalimbali za kimaendeleo Bungeni au hata
nje ya Bunge????
Kuku wako mwenyewe umchongee manati ya nini?
kwani radio ya matahira huwa inatamka jina la lema..jitahidi kufatilia bunge kupitia tv na radio za watu waliojitambua uone pinda anavyomuanya mbungeni...