Lema: CCM haiwezi kuning'oa ubunge Arusha

Arusha kwa nini tuwe wajinga kama mijitu mingine....hebu angalia hao watu wanavyotamba na rasilimali zetu ona wanavyochukuwa migodo huko merarani.heri ya huyuhuyu tuliyenae kuliko mwingine

Ni kweli mkuu huyu huyu lema atatufaa kwani hatuwezi jua huyo wa ccm ambao leo hii wanashindwa kuhoji hii tabia ya wazungu kubeba mchanga toka machimbo na kuupeleka ulaya,kwanini wasihoji nini kilichomo kwenye huo mchanga?
 
 

Arusha ulikua ni mji wa kisomali
 

Mkuu acha ukabila usiwe kama Ruiz aliyesema rais wa Tanzania hawezi toka kaskazini,ulimkubali?

Mhukumu kutokana na utendaji wake hapo ndipo tutaamtendea haki yeye na jukwaa letu adhimu
 
stay tuned...sisiem ndo habare ya mjin Arusha.. tumechoka kumwaga damu na kuwachwa na vilema na CDM!!
 
Mkipigwa ban ya miezi sita mnalalamika,kumbe ni sabababu ya tabia zenu


vyovyote itakavyokuwa kamanda, tunataka mbunge jembe hasa hapo ar kutoka chadema......jembe kichwani akisimama bungeni wananchi wanakuwa na shauku kusikiliza ataongea nn!
lema ni mwanaharakati zaidi kuliko mwanasiasa.....kama ni lazima kuwa kiongozi ndani ya chama basi apewe kazi za kuhamasisha zitamfaa zaidi.
 
chadema kama mnalitaka jimbo la arusha badilisheni mgombea
 

Kuna vijana 100 tunaojuwa wamelipwa na kwa kushirikiana x driver wa lema wameamua kufanya kila wachoweza ili lema aukose ubunge,kwa hilo wamechemka kwani sisi wananchi wa arusha tunamhakikishia mh lema ataendelea kutuwakilisha bungeni hadi atakapo amua yeye kuaachia jimbo
 
monaban a.k.a Philemon Mollel na Deo Mtui wanajipanga kumngoa lema mwaka huu chadema wajiandae kisaikolojia.
 


mkuu,
naona unahangaika kweli kumtetea lema na hii yote ni kwa sabb huyo jamaa hakuutendea haki ubunge wake ktk wakati wake....vinginevyo ingekuwa kazi nyepesi sana kwako.
binafsi nimemuona nasari akishiriki shughuli nyingi za maendeleo jimboni kwake tofauti kabisa na lema ingawa mwanzoni naye alitaka kuiga staili ya lema - pongezi ziende kwa waliomshauri hatimaye akabadilika mapema!
 
monaban a.k.a Philemon Mollel na Deo Mtui wanajipanga kumngoa lema mwaka huu chadema wajiandae kisaikolojia.

Teeeh,teeeh,teeeh,unarudia wito wa jk kwa wana ccm kuwa inabidi mjiandae kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…