Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
LEMA ANAMUONEA, MSHAURI AKAMWAMBIE MBOWEBaba yake na Ben Saanane Amwambia Godbless Lema maneno haya .... Ben ni mwanangu sio mbuzi wangu , nisaidieni kumtafuta mwanangu , moyo wangu unauma..
Inauma sana mtu kumpoteza kijana wake. Ni zaidi ya miezi 5 sasakweli kama mzazi anaumia mzee wetu
Akampigie magoti kamanda wa anga, anajua dili alilocheza ila lilibuma.Baba yake na Ben Saanane Amwambia Godbless Lema maneno haya .... Ben ni mwanangu sio mbuzi wangu , nisaidieni kumtafuta mwanangu , moyo wangu unauma..
naona Unaamisha MagoliHongera baba yake Ben kwa kuamua kusema ukweli. Anajua kuwa CHADEMA inahusika na kupotea kwa Ben na ndio maana maneno hayo hajawaambia Polisi
Aliichambua phd ya mkullu, na sasa inadhihirika kua ina ulakini mwingi sana.Kutokumtumbua Bashite, kufanya ziara za kushtukiza zisizo na tija, kutafuta kick kama harmorapa,kuminya vyombo vya habari, kumfukuza nape huku akikiri kua kafanya kosa moja tuu, kututia hasara kwa kununua ndege wakati huduma za kijamii duni nk.Baba yake na Ben Saanane Amwambia Godbless Lema maneno haya .... Ben ni mwanangu sio mbuzi wangu , nisaidieni kumtafuta mwanangu , moyo wangu unauma..
Unaposema kuwa amefoji PhD ni kudhalilisha elimu Tanzania na chuo kilichomdahili!!!wewe utakuwa Mr zeroBen ni kijana shujaa sana hakika one day ukipatikana tutahakikisha mapambano na Huyu mfoji PHD yanaendelea
Idara ya usalama inafanya nini miezi yote hiyo?Inauma sana mtu kumpoteza kijana wake. Ni zaidi ya miezi 5 sasa
Yeye sio TissRais wa TLS Tundu Lissu ndio mda wa kuonyesha thamani ya nafasi yake.
Au hahusiki huko.!
Akawaambie polisi wepi??Hongera baba yake Ben kwa kuamua kusema ukweli. Anajua kuwa CHADEMA inahusika na kupotea kwa Ben na ndio maana maneno hayo hajawaambia Polisi
Kama ni kweli kwa nn mamlaka husika haziwabani chadema waseme alipochadema wanafahamu BEN alipo.......