LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,496 Reaction score 3,389 May 3, 2012 #121 ritz said: Lema nenda Bukoba, Mtwara, Lindi, Kigoma, wewe kila siku Arusha tu. Click to expand... Hv wewe ritz umehamaga Nchi? Kule kote utajako fagio limeshapitishwa kitambo na KAMANDA wa ukweli na cjui ulikuwaga wapi na hata haujasikia ya kwamba Chopa inafanya kazi mtindo mmoja. Acha utoro jamvini ritz!
ritz said: Lema nenda Bukoba, Mtwara, Lindi, Kigoma, wewe kila siku Arusha tu. Click to expand... Hv wewe ritz umehamaga Nchi? Kule kote utajako fagio limeshapitishwa kitambo na KAMANDA wa ukweli na cjui ulikuwaga wapi na hata haujasikia ya kwamba Chopa inafanya kazi mtindo mmoja. Acha utoro jamvini ritz!