kamanda Godbless Lema ameendelea kuibomoa CCM mkoa wa Arusha leo ilikuwa zamu ya Rabia Abdallah ambae ni mjumbe wa mkutano mkuu wa mkoa UVCCM Arusha,mjumbe wa baraza la wilaya Arusha na katibu wa vijana ccm sombetini. mwingine alie timukia chadema ni Judith Mwami mjumbe wa kamati ya utekelezaji ya kata sombetini...
Naona unachekelea sana habari za uwanja wa nyumbani. Lema kashindwa kuja dar? Naona anachezea tu Arusha...Haaaaaah, huuuuh, kuna watu wanataka kumwibia Rejao, wamemwambia kuna kiingilio hivyo anangoja FUNGULIA MBWA
Wabunge wote wa chadema wasiojisajiri JF kwa majina yao nina mashaka nao!
why?
Mkuu William aka baharia, alipokutana na Nasary bungeni alimuhakikishia kuwa yeye ni active member JF, lakini cha ajabu
hakuna ID ya nasary tunaoijua.
Tabia hii imepelekea kuanzishwa post za kujisifia hasa za lema na nassary, Mimi natilia shaka huenda ni..........
anyway just guessing .................
Lema IQ yake ipo chini sana, elimu yake nayo mgogoro. Hana uwezo wa kujadili mambo na GTWabunge wote wa chadema wasiojisajiri JF kwa majina yao nina mashaka nao!
why?
Mkuu William aka baharia, alipokutana na Nasary bungeni alimuhakikishia kuwa yeye ni active member JF, lakini cha ajabu
hakuna ID ya nasary tunaoijua.
Tabia hii imepelekea kuanzishwa post za kujisifia hasa za lema na nassary, Mimi natilia shaka huenda ni..........
anyway just guessing .................
Lema IQ yake ipo chini sana, elimu yake nayo mgogoro. Hana uwezo wa kujadili mambo na GT
Mtu kutumia jina lake halisi au ID tofauti ni uhuru wake,mbona we unajiita tume ya katiba ina mana ndo jina lako halisi?Wabunge wote wa chadema wasiojisajiri JF kwa majina yao nina mashaka nao!
why?
Mkuu William aka baharia, alipokutana na Nasary bungeni alimuhakikishia kuwa yeye ni active member JF, lakini cha ajabu
hakuna ID ya nasary tunaoijua.
Tabia hii imepelekea kuanzishwa post za kujisifia hasa za lema na nassary, Mimi natilia shaka huenda ni..........
anyway just guessing .................
We mbona hujaweka jina halisi???Wabunge wote wa chadema wasiojisajiri JF kwa majina yao nina mashaka nao!
why?
Mkuu William aka baharia, alipokutana na Nasary bungeni alimuhakikishia kuwa yeye ni active member JF, lakini cha ajabu
hakuna ID ya nasary tunaoijua.
Tabia hii imepelekea kuanzishwa post za kujisifia hasa za lema na nassary, Mimi natilia shaka huenda ni..........
anyway just guessing .................
Magamba bana...wameshatutoa kwenye hoja.......jee, .... ni kweli hao waheshimiwa wamerudisha kadi au si kweli? je, huku kurudisha kadi kwanini kumeambatana na Hukumu ya Kifedhuli dhidi ya lema??..je ukweli ndiko kujisifia??Rejao hili nimelishitukia, mara nyingi unaona post za kumsifia lema jamvini, isije ikawa kujipostia?
"The Storm Is Over Now" ( RKELLY)
I was in a tunnel
And couldn't see the light
And whenever I'd look up
I couldn't see the sky
Sometimes when I'm standin'
It seems like I done walked for miles
And my heart could be cryin'
Dead in the middle of a smile
But then I climbed the hills
And saw the mountains
I hollered help 'cause I was lost
Then I felt the strong wind
Heard a small voice sayin'
The storm is over
(The storm is over now)
And I can see the sunshine
(Somewhere beyond the clouds)
I feel Heaven, yeah
(Heaven is over me)
Come on and set me free, whoa
Now in the midst of my battle
All hope was gone
Downtown in a rushed crowd
And felt all alone
And every now and then
I felt like I would lose my mind
I've been racin' for years
And still no finish line, oh
But then I climbed the hills
And saw the mountains (Mountains)
I hollered help 'cause I was lost
Then I felt the strong wind
And then a small voice sayin'
The storm is over
(The storm is over now)
And I can see the sunshine
(Somewhere beyond the clouds)
I can feel Heaven, yeah
(Heaven is over me)
Come on and set me free
Somehow my beginning stepped right in (Right in)
Then faith became my friend (My friend)
And now I can depend
On the voices of the wind
When it's sayin' (Sayin')
The storm is over
(The storm is over now)
And I can see the sunshine
(Somewhere beyond the clouds)
I can feel Heaven, yeah
(Heaven is over me)
Won't you come and set me free
Won't you set me free
The storm is over
(The storm is over now)
And I can see the sunshine
(Somewhere beyond the clouds)
I can feel Heaven, yeah
(Heaven is over me)
Won't you come and set me free
Hivi we unajiona una unamzidi lema??Rejao hili nimelishitukia, mara nyingi unaona post za kumsifia lema jamvini, isije ikawa kujipostia?