Lema awashangaza waliokuwa wanambeza!

Lema awashangaza waliokuwa wanambeza!

Lema huwezi kumlinganisha na muimba taarabu Pena!
 
kama kweli lema ni jembe, mbona alishindwa kuipaisha TLP alipokuwa huko.............wakati mwingine tutumieni akili makamanda hapo arusha chadema angesimama yeyote atakubalika tu!
lema's simply nothing!!!
 
Kwahiyo wale mliokuwa mnaongozana nao kwenye mikutano ya hadhara ni "magamba"? Sio wanachama wenu?
ingawa sijui kwa kabila lenu msalani ni nini lakini kwa kabila letu la kimanyema msalani ni chooni,ukiachana na hayo maana yangu ni kwamba kama aliyekuwa ameshinda mwaka 2010 ni wa ccm na daftari la wapiga kura alijaboreshwa maana yake baadhi ya wana ccm wamempigia mgombea wa chadema,hiyo ndivyo kwa mtu yeyote anaweza kukuambia,sasa wewe kama ukubaliani na hilo lililo wazi basi baki kama ulivyo
 
NA msigwa je kata zake ameganikiwa kuzikomboa..

mii aibu kati ya kata 32 chadema wanashinda mbili Tu na bado tunasema chama kinakubalika.. Kiukweli chadema kinasafari ndefu mno

hukua na sababu ya kucomment kwn kinachoendelea hujui...kata 32
 
Rais wa arusha godbless lema ni tishio huyu ni jasiri ni jembe ni rato ni mwanaume ni stivin bikon ni mikom x ni chegue evara yaani kibiko ya maccm ni huyu jamaa kinawasira wamekuja sombetin chali lema tishio tanzania habara ndyo hiyo mbunge wangu wewe ni shujaa mkuu akulinde ebana unamtesa maccm arusha hongera mbunge wangu kwa kuwachapa maccm 1 kwa 0 na zile 4 bila total 5 kwa 0 ebana r.i.p ccm arusha mjini
 
kwa akili ya lema, kufuatia matokeo mabaya ya udiwani majuzi nna uhakika atapeleka ushauri murua kamati kuu kumshauiri mbowe chama kianza kutumia rocket na isiwe chopa tena......mbowe atapiga makofi kupongeza ushauri mzito kutoka kwa kamanda!!!!!!!!!
 
Kushinda uchaguzi ni maandalizi. Lema aliwashinda kete ccm. Huko tulikoshindwa wapiga kura wa cdm hawakuandaliwa vilivyo ikiwa ni pamoja na mawakala. Ukizubaa tu wakati wa kuhesabu kura unapigwa bao au kama una njaa ndio hivyo tena unauza ushindi wako. Hongera kamanda lema.
 
Haka ka Ritz kabishi ka hoja ni cha wapi haka?sio kagamba kweli
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom