Ilitara kimura
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,883
- 1,855
Lema ni jembe
Awasamprize!! Kamanda sijakupata hapa una maanisha nini.
Tunaoujua uchekbob wa Lema. Tunashangaa sana mnavyomsifia hapa.
chadema badala ya kuimarisha chama wanalea migogoro, bure kabisa hawa watu bora kubaki na single party system tu
Walijaribu sana kuiba lakini kwa ujasiri wa kamanda Lema walishindwa,ndipo wakamua tu kumpiga bila kosa loloteHii ilidhihirika dhahiri baada ya kuongoza chama chake kuikwapua CCM kata ya Sombetini kwa kishindo pamoja propaganda zilizokua zinaenezwa kwamba hajafanya kitu na hakubaliki Arusha.
NA msigwa je kata zake ameganikiwa kuzikomboa..
mii aibu kati ya kata 32 chadema wanashinda mbili Tu na bado tunasema chama kinakubalika.. Kiukweli chadema kinasafari ndefu mno
Hapa kinachozungumziwa ni Lema na ushindi wa Sombetini,ungechangia kulingana na mada unachokiuliza kipo nje ya mada, labda anzisha thread yako na uliza hilo swali.Kamanda hivi katika kata 27 Chadema imeshinda ngapi?
huo ni ushindi wa kishindo kwa sababu jimbo hilo lilikuwa la ccm,hivyo wengi waliochagua chadema ni wana ccmMahaba mengine ni ya kijinga sana. Unadai ushindi wa kishindo kwa kupishana kwa kura 2100 na 2600 ! Hebu kuwa mstaarabu bana!
Acha kukufuru wewe kiumbe dhaifu, mapenzi yako na huyo jamaa yako yasivuke mipaka mpaka ukakosa ufahamu wa kujifahamu unatoka wapi na unakwenda wapi, hakuna atakayeishi milele!
Hii ilidhihirika dhahiri baada ya kuongoza chama chake kuikwapua CCM kata ya Sombetini kwa kishindo pamoja propaganda zilizokua zinaenezwa kwamba hajafanya kitu na hakubaliki Arusha.
Umepata ajira lumumba baada ya tishio la chadema..kama chadema haikutishi usingeandika haya.Lema ni JEMBE.chadema badala ya kuimarisha chama wanalea migogoro, bure kabisa hawa watu bora kubaki na single party system tu
Lema ni jembe
Awasamprize!! Kamanda sijakupata hapa una maanisha nini.
huo ni ushindi wa kishindo kwa sababu jimbo hilo lilikuwa la ccm,hivyo wengi waliochagua chadema ni wana ccm
wahanga wa helkopta mnafarijiana.na kujua lema ni another level anglia since amekuwa madarakan kila uchaguz ccm wanapata za uso balaa....he knows how to play his part!!