Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,877
- 5,694
Hongera Godblee Lema kwa kuratibu ushindi wa chadema Sombetini.....
Kamanda hivi katika kata 27 Chadema imeshinda ngapi?
Hongera Godblee Lema kwa kuratibu ushindi wa chadema Sombetini.....
Mahaba mengine ni ya kijinga sana. Unadai ushindi wa kishindo kwa kupishana kwa kura 2100 na 2600 ! Hebu kuwa mstaarabu bana!
Lema ni moja ya wanasiasa wenye maono makubwa sana,itakuwa ngumu sana watu kumuelewa.nilikuwa simuungi mkono ila baada ya kumuelewa sina haja ya kuendelea kukumbatia propaganda za kiccm tena. Nipo na makamanda sasa.
Pamoja na kufanya vibaya kwenye uchaguzi wa Jana,
ila kamanda lema anahitaji pongezi...Anajitahidi sana kuijenga CDM upande wa Arusha.
Mahaba mengine ni ya kijinga sana. Unadai ushindi wa kishindo kwa kupishana kwa kura 2100 na 2600 ! Hebu kuwa mstaarabu bana!
The guy is so brilliant,Yes he has his own mistake ila for real Jamaa anawapa headache sisiemu
Jamani magamba ni shida, hizo kata 32 zilikuwa wapi?? Kapige mswaki uende shule.NA msigwa je kata zake ameganikiwa kuzikomboa..
mii aibu kati ya kata 32 chadema wanashinda mbili Tu na bado tunasema chama kinakubalika.. Kiukweli chadema kinasafari ndefu mno
Wewe kweli mzingo!chama kinawezaje kukosa kadi?Hawana kadi wana gwanda labda wakutumie hilo.
Unataka tukusifie wewe na wajinga wenzio?Tunaoujua uchekbob wa Lema. Tunashangaa sana mnavyomsifia hapa.
Hii ilidhihirika dhahiri baada ya kuongoza chama chake kuikwapua CCM kata ya Sombetini kwa kishindo pamoja propaganda zilizokua zinaenezwa kwamba hajafanya kitu na hakubaliki Arusha.
Hii ilidhihirika dhahiri baada ya kuongoza chama chake kuikwapua CCM kata ya Sombetini kwa kishindo pamoja propaganda zilizokua zinaenezwa kwamba hajafanya kitu na hakubaliki Arusha.