ile id ya aminangalo imekufa rasmi jana...mwanamke unamtoroka mumeo wiki 2 kumchafua kamanda sijui kama ndoa yake bado ipo..
Awasamprize!! Kamanda sijakupata hapa una maanisha nini.
Hii ilidhihirika dhahiri baada ya kuongoza chama chake kuikwapua CCM kata ya Sombetini kwa kishindo pamoja propaganda zilizokua zinaenezwa kwamba hajafanya kitu na hakubaliki Arusha.
Lema ni moja ya wanasiasa wenye maono makubwa sana,itakuwa ngumu sana watu kumuelewa.nilikuwa simuungi mkono ila baada ya kumuelewa sina haja ya kuendelea kukumbatia propaganda za kiccm tena. Nipo na makamanda sasa.
samahani mkuu, hapo kwenye red, wamekufanya nini?????NA msigwa je kata zake ameganikiwa kuzikomboa..
mii aibu kati ya kata 32 chadema wanashinda mbili Tu na bado tunasema chama kinakubalika.. Kiukweli chadema kinasafari ndefu mno
Ishi milele daima kamanda Lema