Tunaomba ratiba za mikutano ya M4C maana tunataka kuhudhuria kuwasikiliza wakati wa ziara hii muhimu ya viongozi. Mwenye kuwa nayo tafadhali sana.
Ebu waangalie vizuri hao watu wameweka mikono nyuma wanashangaa!
Hii itawasaidia na CCM kuanza kufuta nyayo za CHADEMA au kujipanga kwa kujua Lema anakuja kama walivyofanya tabata kuwahamisha waathirika wa mafuriko..
Asipozunguka mitaani mkono hauendi kinywani maana ubunge chali! mwacheni ajitafutie riziki.
View attachment 56990
View attachment 56991
View attachment 56992
Jioni ya leo
Picha zaidi www.mjengwablog.com
Ebu waangalie vizuri hao watu wameweka mikono nyuma wanashangaa!
Ritz lazima atakuwa amejivua gamba...
Hawashangai, wanasikiliza kwa makini. Ulidhani huu ni ule mkutano wa misukule inayoulizwa 'sawa sawa?' na yenyewe inaitikia 'ndioooo'.
Hivi watu kweli wakaache shughuli zao waende kushangaa tu? Kuweni na haya jamani hata kama Nape anawalipa mbona mambo mengine hayakanushiki wajamini
Asipozunguka mitaani mkono hauendi kinywani maana ubunge chali! mwacheni ajitafutie riziki.
Nape anapfanya mikutano stand na sokoni kama chizi....Na bado ana mwezi wa kuwepo hapo dar sijui nape ana ratiba.
Ebu waangalie vizuri hao watu wameweka mikono nyuma wanashangaa!
Asipozunguka mitaani mkono hauendi kinywani maana ubunge chali! mwacheni ajitafutie riziki.
Asipozunguka mitaani mkono hauendi kinywani maana ubunge chali! mwacheni ajitafutie riziki.
Asipozunguka mitaani mkono hauendi kinywani maana ubunge chali! mwacheni ajitafutie riziki.
Alipo vuliwa ubunge na ikulu alisema atafunga na kusali na kisha atazunguka nchi nzima,na mungu ataonyesha maajabu yake,...ndugu zangu bado mh lema hajamaliza kazi............Huyo ndiyo Lema....ukisikia mwingine ujue fake.
Tulianza na mungu na tutamaliza na mungu!