Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,665
- 239,163
Wakuu , kiukweli aliyenacho kunyang'anywa si rahisi .
Pamoja na njama za kufifisha habari za mkutano wa Mtume na Nabii wa Mungu , Godbless Lema ( Mandela ) , ajabu ni kwamba Magazeti karibu yote yameipa habari hiyo kipaumbele namba moja na kuutoselea mbali mkutano wa ccm huko Dodoma.
Huu ni ushahidi kwamba hata Magazeti sasa yamekwisha ichoka ccm na vijitaarifa vyake , ama waweza sema Umaarufu wa Mh Lema ni zaidi ya ccm , tena kwa mbali sana .
Mytake - Gogo limekwishakatwa kinachosubiriwa ni upepo tu litikiswe lijidondokee