sasa unatokwa mapovu yote ya nini
Mkuu Tumsifu Samweli, Kama ni kweli unajihesabu unanifahamu kwa zaidi ya miaka 10, na leo ndio unaniona nimebadilika, basi ujijue hunifahamu, japo ulidhani unanifahamu labda kama unanisikia tuu au kuniona tuu!, wanao nifahamu, wananifahamu! . Pasco ni yule yule, juzi, jana leo kesho na milele!. Sifungamani na chama chochote, ila kuna watu ninawaunga mkono, ni wale wale na vyama vile vile!.Mkuu Pasco, kwanza ni kupongeze kwa kuongea kutoka moyoni, leo nimekuona watofauti sana kutokana na maandishi yako haya. Ni zaidi ya miaka 10 na kufahamu ila leo umebadilika sana, Inaelekea umeanza kuwa mtoto mzuri! usiyefungamana na upande wowote!......
here are currently 864 users browsing this thread. (518 members and 346 guests)
Hata mimi nipo live ndg,ukipumua kunywa maji tu.....natupia!